J putin
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,263
- 1,209
Habari wakuu,
Kama unajua au nitumie njia gani kunasa meseji ya mke au mpenzi .
Sitaki kuchukua simu yake.
Nataka nitumie technology kunizinasa juu kwa juu,
I.T wa humu naombeni msaada.
Tabia yake ni nzuri tu kwangu na huwa sijashtuka chochote ila nataka tu kujua kama yuko na mimi tu.