Jinsi ya kumtunza :"" pdidy""

Duu hii dunia imekwisha kabisa.Sasa mwandoa unagonwa na wewe unagonga kazi ipo.Eeh MUNGU ninusuru mie.
 
we mwachie Mungu usifanye part yako uone kama ugongaji haujaingia uvunguni mwa kitanda chako.
nakwambiaje naanza kuamini kidogo kidogo kama mwaka 2012 mwisho wa dunia,maana tunavyomchokonoa mungu hata enzi za sodomah watu hawakufanya hivi,its tooo much.
 
hivi, jamani mnalizungumziaje hili sakata la mtoto kukatwa kuganja kwa madai ya uzembe wa wauguzi
 
nakwambiaje naanza kuamini kidogo kidogo kama mwaka 2012 mwisho wa dunia,maana tunavyomchokonoa mungu hata enzi za sodomah watu hawakufanya hivi,its tooo much.
kwa kweli binadamu wa leo tumekua wacafu sana wa matendo,hivi huyu mungu angekua na hasira za kuhukumu papo kwa papo kama sisi tulivyo na hukumu za sheria mkonononi tungepona kweli?maana tunamchokonoa isivo kawaida.inaskitisha sana kwani matendo yetu ni yanazidi kutia kinyaa!kweli mungu ni mwenye upendo ndo mana anatuvumilia!
 
OK swali lako halieleweki, inamaana mumeo ni Gay or Bisexual? kama ni hivyo basi hakuna njia, ni omba talaka kwani hakuna dawa yakuponya ushoga ,kwani huyo ndivyo alivyo.
Au kama ume zaa naye na unahitaji malezi bora ya watoto walelewe na baba na mama basi jaribu ongea na mumeo, muulize napenda nini na anatakaje, ikiwezekana mshauri umnuulie a Dildo uwe una msaidia au, kubalina na hali halisi ushirikiane kimapenzi yani uwajoin yeye na sex buddy wake kitandani ili mdumishe ndoa yenu .
 
Hivi yule jamaa aliyejulikana kama GONGAGONGA aliishiaga wapi? Au ndo huyo amerudi tena kugonga wenzake!!
 
Unaonenaje kama mke genuine, mme shoga na mme basha mkikutana kitandani then mkatengeneza mtungo fulani hapo. It will be funning. Otherwise achana naye kwani siye mume tena kwani kwa ufahamu wangu huyo hawezi kungonga hadi agongwe
 
hivi nyie wanaume mnafurahia nini kumtoa mwenzako mavi live jamani huku yakikudondokea xxxxxxxxxxxx,..sijui unanawa ama unaenda nayo kwa mkeo hivyo hivyo

ee mungu tusaidie
 
hivi nyie wanaume mnafurahia nini kumtoa mwenzako ....... live jamani huku yakikudondokea pembeni ya ..... yako,..sijui ...... ama unaenda nayo kwa mkeo hivyo hivyo

ee mungu tusaidie
Its good to call a spade a spade lakini best angalia lugha sometimes unayoitumia, nadhani hii si ya kistaarabu bora hata ungetumia euphemism. Bwamdogo jaribu kuwa mstaarabu vinginevyo hii forum itaonekana ni ya wahuni wasiokuwa na ustaarabu wowote.
THE MORALIST Insinuates!
 
its good to call a spade a spade lakini best angalia lugha sometimes unayoitumia, nadhani hii si ya kistaarabu bora hata ungetumia euphemism. Bwamdogo jaribu kuwa mstaarabu vinginevyo hii forum itaonekana ni ya wahuni wasiokuwa na ustaarabu wowote.
The moralist insinuates!

kumradhi wakubwa,..mdomo auna ulimi,...
 
kama anagongwa kwa nilivyoelewa mimi basi huyo si mume tena atafute neno jengine la kumuita lakini siyo mume.mmh!ampeleke akaombewe!

mimi nilifikiri anagongwa na gari au baiskeli, sasa mtu akigongwa mara mbili atakuwa mzima huyo, make aliepost hii thread amesema anagongwa, maanake agongwa kila cku, bado anapumua??????? kama bado God is great.

Nafikiri post inaeleweka, jamani anagongwa!!!!!!

heheheheheheheheheeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
HAKUNA LISILOWEZEKANA KWA MUNGU. Ampeleke kwenye maombi.. Je atakubali kwenda?
 
OK swali lako halieleweki, inamaana mumeo ni Gay or Bisexual? kama ni hivyo basi hakuna njia, ni omba talaka kwani hakuna dawa yakuponya ushoga ,kwani huyo ndivyo alivyo.
Au kama ume zaa naye na unahitaji malezi bora ya watoto walelewe na baba na mama basi jaribu ongea na mumeo, muulize napenda nini na anatakaje, ikiwezekana mshauri umnuulie a Dildo uwe una msaidia au, kubalina na hali halisi ushirikiane kimapenzi yani uwajoin yeye na sex buddy wake kitandani ili mdumishe ndoa yenu .
Olalalala!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom