chiko
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 580
- 245
Pdidy hapo umegonga!, Mara nyingi wanao poteza sana ni WADADA, kwani hasara huwa nyingi kwao;
1. Msichana hushusha hadhi yake kama TRIAL hio haita pitishwa(Cancelled).
2. Mwanamke huwachiwa majukumu ya kulea, jamaa akijitoa.
3. Mwanamke hana haki, iwapo jamaa ataaga dunia wakiwa pamoja.
4. ............etc