Jinsi Ya Kumtambua Freemanson

Haya hapa ni maelezo ya kumtambua Mtu aliye kwenye Company au dini ya Freemanson:

1. Kila siku saa 7:00 usiku anaamka kwenda chooni kukojoa.
2. Kila akialikwa kwenye mialiko anavaa suti yeusi na tai Nyekundu
3. Anapenda sana kutabasamu tabasamu hata anapoelezwa jambo la kusikitisha
4. Kila anapoingia chooni huwa anatanguliza mguu na mkono wa kushoto.
5. Anapeda sana kuongea na watoto.
6. Kila Tarehe 12 mwezi 9 lazima asiwepo nyumbani.
7. Huwa anakuwa na majina zaidi ya moja (AKA).

Kama unamaelezo mengine unaweza kuyatoa ili tuwasaidie wasiojua.
NB: ukitaka kuwa ona kwamajina yao amka usiku saa 9:00 - 10:00 neda kakae peke yako baharini ndani ya mtumbwi na uzibe masikio utawaona na hawatakuona
Hapo kwenye red, mh mh h h h!! KIBERAAAAAAAAAAAAA
 
Unaweza ukakataa lakini ndiyo hivyo dunia sasa iko kwenye zama za ufreemanson. Kunadocumentary mbalimbali japo kuwa utani sikia hii.
1. kwenye dolla za kimarekani kuna alama za freemanson.
2. Alama kama msalaba, namba 7, 9 au namba zinazofuatana tatu yaani , 111 333 666 huwazinatumiwa. Kunavitu mbalimbali kam 7 up, maana yake ni mkusanyiko wa saba yaani 777. Huu utani tu jamani hahahahaaaaa.....
 
Back
Top Bottom