Jinsi Ya Kumtambua Freemanson

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,834
Haya hapa ni maelezo ya kumtambua Mtu aliye kwenye Company au dini ya Freemanson:

1. Kila siku saa 7:00 usiku anaamka kwenda chooni kukojoa.
2. Kila akialikwa kwenye mialiko anavaa suti yeusi na tai Nyekundu
3. Anapenda sana kutabasamu tabasamu hata anapoelezwa jambo la kusikitisha
4. Kila anapoingia chooni huwa anatanguliza mguu na mkono wa kushoto.
5. Anapeda sana kuongea na watoto.
6. Kila Tarehe 12 mwezi 9 lazima asiwepo nyumbani.
7. Huwa anakuwa na majina zaidi ya moja (AKA).

Kama unamaelezo mengine unaweza kuyatoa ili tuwasaidie wasiojua.
NB: ukitaka kuwa ona kwamajina yao amka usiku saa 9:00 - 10:00 neda kakae peke yako baharini ndani ya mtumbwi na uzibe masikio utawaona na hawatakuona
 
Maelezo nimetoa ya awali kabla hata ya vtu vingine
 
wakuu hivi leo juma ngap vile????
Leo ni ijumaa siku ambayo mafreemanson wote huenda kupata chakula cha usiku kweye mahoteli ambayo milango yake ya kuingilia imetazama kaskazini. Upo?
 
kama ni hivyo mwalimu wote ni ma Freemasons maana wanapenda Watoto wacha wongo hatudanganyiki! sikuhizi Bongo ukizishika unaambiwa Freemason
 
Hayo ndio maisha ya sasa na wengine wanaiga tu bila ya kujua ishara hizo zinamaana gani?
 
Haya hapa ni maelezo ya kumtambua Mtu aliye kwenye Company au dini ya Freemanson:

1. Kila siku saa 7:00 usiku anaamka kwenda chooni kukojoa.
2. Kila akialikwa kwenye mialiko anavaa suti yeusi na tai Nyekundu
3. Anapenda sana kutabasamu tabasamu hata anapoelezwa jambo la kusikitisha
4. Kila anapoingia chooni huwa anatanguliza mguu na mkono wa kushoto.
5. Anapeda sana kuongea na watoto.
6. Kila Tarehe 12 mwezi 9 lazima asiwepo nyumbani.
7. Huwa anakuwa na majina zaidi ya moja (AKA).

Kama unamaelezo mengine unaweza kuyatoa ili tuwasaidie wasiojua.
NB: ukitaka kuwa ona kwamajina yao amka usiku saa 9:00 - 10:00 neda kakae peke yako baharini ndani ya mtumbwi na uzibe masikio utawaona na hawatakuona

waislam tunafuata mafundisho ya dini yetu,tunaingia toilet kwa mguu wa kushoto!
 
Back
Top Bottom