Jinsi ya kumrudisha mtu aliyeuliwa na wachawi

Inayoweza kufufua mfu ni nguvu ya Yesu Kristo basi. vitu vingine vyote ni kupoteza time yako tuu.Na pia kinga ya kutoteswa na Wachawi ni kumkili Yesu kristo kwamba ni Bwana na Mokozi wa Maisha yako na kuacha dhambi.
Wangefufuliwa wengi, au unaongelea maigizo ya hawa manabii wetu?
 
Mtoto mdogo mind yake haina matakataka anapoanza kukua anazoa takataka kutoka kwenye jamii shida ndo inaanzia hapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok hayo matakataka ni yapi mkuu..

Kuna jamaa mmoja aliwahi kusema kuzinzi ni moja ya sabbu za mtu kupoteza uwezo wake kiroho kufa au kupotea kabisa....hili lina ukweli,??

Kwa sabbu asilimia kubwa ya vijana mpk kufika 23years tayari wanakuwa wameshafahamu kungonoka..sasa hapo asilimia kubwa ya walimwengu si hawana tena hizo nguvu? Au inakuwaje chief..

Karibu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom