Jinsi ya kumridhisha mumeo wakati upo 'bleed'

Breed mkuu ina maana tofauti na uliyokusudia Bora ungeandika kiswahl inaitwa hedhi
All in all somo tumelipata inaonesha hukulala ukayackiliza vzuuur
Huenda hata kiswahili angechapia akaandika hezi hii lugha karibia nayenyew itatushinda
 
Tabu yoote ya nini??
Sibora uvute subra tu hio cku yake ya kubleed iishe,kwani haizidi hata siku 5.
Sasa kupigana manyeto tena au kusuguana na mavicgino yanini mabalaa haya mwishoe ujikute kAbAmia kako ndio kapate na tuvidonda!!!!!!tuwe na subra tu wakuu
 
breed ? hii lugha kweli ilikuja na meli! kulikua na ulazima gani kutumia neno la kingereza ? ungeandika hedhi ungeeleweka pia !!!
 
Back
Top Bottom