kolongotitu
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 222
- 157
Kazi kweli kweli
Kanunulie simu na ukasemehe Kodi utakuja kunishukuruAisee nna kampangaji kangu kazurii, hila hiyo mbinu mbona Ina mlolongo mrefuu sana 😎
Nikasamehe Kodi kabla sijakigonga mkuu! Itakula kwangu, nimekaambia nitampunguzia Kodi, kutoka elfu sabini kwa room Hadi elf 50, hili kawe dada mwenye nyumba,Kanunulie simu na ukasemehe Kodi utakuja kunishukuru
Ushirikina mkubwa huuJamaa unatufundisha uchawi!??