Quinn
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 473
- 1,180
Mwanaume anashawishika kwa anachokiona na mwanamke anashawishika kwa anachokisikia kwani hawa ni viumbe viwili tofauti, kumbuka mwanamke ana hisia(emotional) lakini mwanaume ana mantiki (he is logical).
Kwahiyo mwanaume anashawishika kwa anachokiona lakini mwanamke kwa anachokisikia kwahyo mwanaume akimuona mwanamke inamuingia kwenye nafsi yake na mwanamke akimsikia mwanaume naye umuingia kwenye nafsi yake, ni viumbe viwili tofauti.
Kwasababu hiyo mwanaume ana hamu ya asili kutafuta kizuri au mzuri(to look for beauty) na pili mwanaume pia ni aggressive hivyo ana hamu ya asili ya kulinda kile cha kwake.
Kwahyo muunganiko huu kwa mwanaume umfanya awe na roho ya kutamani mke aliyekuwa na mvuto, anataka kitu kilichokuwa kizuri na chenye thamani ya kukilinda.
Kila mwanaume anataka ajivunie na mke wake, mwanamke ambaye anavaa na kupendeza na anajua jinsi ya kujiweka vizuri umfanya mwanaume wake apite ata kazini aseme uyu ni mke wangu na anajivunia ata kumchukua kwenda naye nje mbele za watu.
Baadhi ya wanaume uwaficha wake zao na kuwaambia wakae nyumbani kwani mwanaume uhitaji mke mwenye mvuto kwahiyo wanawake kama mnajua mumeo anachohitaji ni hicho mpatie,kuwa na muonekano mzuri muda wote.
Kama umevaa rollers kichwani basi zionekane kwenye unadhifu au hadhi fulani kwani nimeona wanawake yaan (God have mercy) wanatoka nje kama wanaenda stoo akiwa ana kandambili,nguo chafu na rollers kichwani na hata hatembei kwa staha au kwa hadhi.
Mumeo anarudi kutoka kwenye kazi ngumu za siku,mke anafungua mlango mpaka mume wake anataka kukimbia yaan ana mafuta mwili mzima na rollers kichwani,kisu mkononi kikaangio mkono mwengine yaan tabu tupu, apo unakosa mvuto kwani mwanaume ushawishika na anachokiona na anataka mwanamke mwenye mvuto.
Mwanaume wakati anamfukuzia mwanamke kwa muonekano wake mzuri akimpata anaacha kumfukuzia na anatulia kwake kwa sababu anavaa vizur,anapendeza na kujiweka vizuri kabla ya kuolewa, ananukia vizuri kabla ya kuolewa na anakuwa na muonekano nadhifu kabla ya kuolewa ndo maana muda wote mwanaume anatamani awe pembeni yake na hawezi kukaa bila yeye lakini baada ya kumuoa uyo mwanamke, mwanamke uyo uwacha vyote vilivyomfanya mume wake amfukuzie.
Kwahiyo wanawake jiekeni vizuri baada ya kuolewa na mupendeze muda wote mkiwa nyumbani na mumeo baada ya kuolewa na munukie vizuri baada ya kuolewa na umfanye mumeo akuangalie ww muda wote na sio mwengine if you wondering why the guy is coming home late because the view is not too interesting..
(By myles munroe)