Jinsi ya kumpa motisha mumeo(how to motivate your husband)

Quinn

Quinn

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
222
Likes
383
Points
80
Quinn

Quinn

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
222 383 80
Mwanaume anashawishika kwa anachokiona na mwanamke anashawishika kwa anachokisikia kwani hawa ni viumbe viwili tofauti, kumbuka mwanamke ana hisia(emotional) lakini mwanaume ana mantiki (he is logical).

Kwahiyo mwanaume anashawishika kwa anachokiona lakini mwanamke kwa anachokisikia kwahyo mwanaume akimuona mwanamke inamuingia kwenye nafsi yake na mwanamke akimsikia mwanaume naye umuingia kwenye nafsi yake, ni viumbe viwili tofauti.

Kwasababu hiyo mwanaume ana hamu ya asili kutafuta kizuri au mzuri(to look for beauty) na pili mwanaume pia ni aggressive hivyo ana hamu ya asili ya kulinda kile cha kwake.

Kwahyo muunganiko huu kwa mwanaume umfanya awe na roho ya kutamani mke aliyekuwa na mvuto, anataka kitu kilichokuwa kizuri na chenye thamani ya kukilinda.

Kila mwanaume anataka ajivunie na mke wake, mwanamke ambaye anavaa na kupendeza na anajua jinsi ya kujiweka vizuri umfanya mwanaume wake apite ata kazini aseme uyu ni mke wangu na anajivunia ata kumchukua kwenda naye nje mbele za watu.

Baadhi ya wanaume uwaficha wake zao na kuwaambia wakae nyumbani kwani mwanaume uhitaji mke mwenye mvuto kwahiyo wanawake kama mnajua mumeo anachohitaji ni hicho mpatie,kuwa na muonekano mzuri muda wote.

Kama umevaa rollers kichwani basi zionekane kwenye unadhifu au hadhi fulani kwani nimeona wanawake yaan (God have mercy) wanatoka nje kama wanaenda stoo akiwa ana kandambili,nguo chafu na rollers kichwani na hata hatembei kwa staha au kwa hadhi.

Mumeo anarudi kutoka kwenye kazi ngumu za siku,mke anafungua mlango mpaka mume wake anataka kukimbia yaan ana mafuta mwili mzima na rollers kichwani,kisu mkononi kikaangio mkono mwengine yaan tabu tupu, apo unakosa mvuto kwani mwanaume ushawishika na anachokiona na anataka mwanamke mwenye mvuto.

Mwanaume wakati anamfukuzia mwanamke kwa muonekano wake mzuri akimpata anaacha kumfukuzia na anatulia kwake kwa sababu anavaa vizur,anapendeza na kujiweka vizuri kabla ya kuolewa, ananukia vizuri kabla ya kuolewa na anakuwa na muonekano nadhifu kabla ya kuolewa ndo maana muda wote mwanaume anatamani awe pembeni yake na hawezi kukaa bila yeye lakini baada ya kumuoa uyo mwanamke, mwanamke uyo uwacha vyote vilivyomfanya mume wake amfukuzie.

Kwahiyo wanawake jiekeni vizuri baada ya kuolewa na mupendeze muda wote mkiwa nyumbani na mumeo baada ya kuolewa na munukie vizuri baada ya kuolewa na umfanye mumeo akuangalie ww muda wote na sio mwengine if you wondering why the guy is coming home late because the view is not too interesting..

(By myles munroe)
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
22,395
Likes
34,361
Points
280
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
22,395 34,361 280
Na michepuko nayo inatufanyia haya
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
21,025
Likes
19,639
Points
280
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
21,025 19,639 280
Tatizo binadamu ni wabishi sana...

Cc: mahondaw
 
Tater

Tater

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
4,235
Likes
10,157
Points
280
Tater

Tater

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
4,235 10,157 280
Ukileta jinsi ya kumpa motisha mke uni_tag..
 
tamuuuuu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Messages
11,009
Likes
7,974
Points
280
tamuuuuu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2014
11,009 7,974 280
Mambo hayo.
 
Karucee

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Messages
12,882
Likes
7,314
Points
280
Karucee

Karucee

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2012
12,882 7,314 280
The same should apply to men my friend.
Stay appealling to your wife. Work out, look good, smell good.... keep your charm.
Learn the interests of your wife.... if she is a SAHM with little kids find a way to ease her chores so she can have time to rest and look good for you.

If she us a career lady, then take her out on those days that she cant rush home to cook and set up the home to your liking. You can also head home and help her make dinner.

Marriage takes two to tango.
 
If u do as i told u then he will automatically respond to ur needs....
 
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
13,951
Likes
13,863
Points
280
Age
21
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
13,951 13,863 280
Asante sana mleta maada nazan sasa mbitiyaza atabadilika maana alikuwa ashaanza kuwa ananifokea fokea kila siku
 
beingsingle

beingsingle

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
2,517
Likes
5,103
Points
280
beingsingle

beingsingle

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
2,517 5,103 280
The same should apply to men my friend.
Stay appealling to your wife. Work out, look good, smell good.... keep your charm.
Learn the interests of your wife.... if she is a SAHM with little kids find a way to ease her chores so she can have time to rest and look good for you.

If she us a career lady, then take her out on those days that she cant rush home to cook and set up the home to your liking. You can also head home and help her make dinner.

Marriage takes two to tango.
Exactly
 
beingsingle

beingsingle

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
2,517
Likes
5,103
Points
280
beingsingle

beingsingle

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
2,517 5,103 280
Haha...nyie endeleeni kusapotiana...michepuko iko kwenye kasi ya 4G
Nyie si ndio mnawapa hzo chance za kuwa kwenye 4G wakati unauwezo wa kumfanya mkeo kuwa 4G vile vile..
 
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
8,786
Likes
9,211
Points
280
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
8,786 9,211 280
The same should apply to men my friend.
Stay appealling to your wife. Work out, look good, smell good.... keep your charm.
Learn the interests of your wife.... if she is a SAHM with little kids find a way to ease her chores so she can have time to rest and look good for you.

If she us a career lady, then take her out on those days that she cant rush home to cook and set up the home to your liking. You can also head home and help her make dinner.

Marriage takes two to tango.
Iyo lugha mama
 
Quinn

Quinn

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
222
Likes
383
Points
80
Quinn

Quinn

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
222 383 80
Nyie si ndio mnawapa hzo chance za kuwa kwenye 4G wakati unauwezo wa kumfanya mkeo kuwa 4G vile vile..
Hamna...unakuta home mnara haukamati...mama watoto yupo 2G...ukitoka nje unakuta mchepuko una 4G...mnara unakamata...we siku fanya niliokwambia utakuta hadi mumeo anakuuliza mara mbili mbili vipi mke wngu unaenda kwenye harusi basi twende wote
 
natural girla

natural girla

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2017
Messages
202
Likes
238
Points
60
natural girla

natural girla

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2017
202 238 60
Unampa huduma zote kisawa sawa??
Kwa mim nampa, lakin unakuta mtu anamke mzuri tena mwenye figure ya kibantu lakin mwanaume anamichepuko hatari
 
beingsingle

beingsingle

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
2,517
Likes
5,103
Points
280
beingsingle

beingsingle

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
2,517 5,103 280
Hamna...unakuta home mnara haukamati...mama watoto yupo 2G...ukitoka nje unakuta mchepuko una 4G...mnara unakamata...we siku fanya niliokwambia utakuta hadi mumeo anakuuliza mara mbili mbili vipi mke wngu unaenda kwenye harusi basi twende wote
Wanaume hawaridhikagi hata kidogo
 
Quinn

Quinn

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
222
Likes
383
Points
80
Quinn

Quinn

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
222 383 80
Kwa mim nampa, lakin unakuta mtu anamke mzuri tena mwenye figure ya kibantu lakin mwanaume anamichepuko hatari
Haha...ikiwa ni hvyo basi unakuwa umeoa malaya au hakuyafanya ayo kipindi cha ujana wake
 
Forum statistics

Threads 1,236,773
Members 475,220
Posts 29,268,046