Jinsi ya kumkomesha ex wako

hiyo laki sita si ungeipeleka kwa watoto yatima kama huna kazi nayo?
 
Hiyo laki sita ni bora niwapelekee wazazi wangu watanishukuru kuliko kusumbuka na mtu ambaye hana faida kwangu zaidi ya kunitia hasara
 
Hiyo laki 6 nimeshapata mademu wapya zaidi ya 10 kwa hali hii ya unko magu sasa nirudi nyuma kufanya nn labda
 
Wewe bure kabisa, laki sita mdio kununua think about registration na kodi zingine.... Mpka ufike airport traffic watakuwa washakupiga kama notigication 5 hivi so yuu will lost a million on the most stupidiest act ever, halafu na ssi tulio na ma-ex zaidi ya 5 tufanyaje?
 
Nyie tuvulana vichwa vyenu vina tabu!
 
Wavulana mna visa nyie. Sasa hiyo laki sita si bora ufungue biashara upate faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…