min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,348
- 177,708
Mtakula niniš¤£Vipi kama mwanaume nae ni maskini na anataka kuoa?
Mtakula niniš¤£Vipi kama mwanaume nae ni maskini na anataka kuoa?
Ndio hapo sasa lazima mwanaume awe amejipata vinginevyo akina sisi ndio tupo.Mtakula niniš¤£
Kabisa tena kujipata haswa , ndio maana mimi huwa nasema mpaka nikifika 60 huko ššNdio hapo sasa lazima mwanaume awe amejipata vinginevyo akina sisi ndio tupo.
Nakubali upo sahihi.Vivyohivyo
Wanaume Maskini wakipata wengi waƓ wanatabia za Wasanii Muziki
Kina Pdidy, Lily Wyne n.k. hata Hapa bongo Wala usishangae kuona Kwa nini Wasanii hu-act vile wanavyo-act, sababu kƻbwa ni poor Background Kwa wengi waƓ.
Hakuna Watu wanyanyasaji kama Wanaume waliotoka familia Maskini alafu wakazifuma Pesa. Wengi waƓ ni hatari
Ushahidi ukitaka nitakupa
𤣠60? Wewe unakimbia kuoa huna lolote.Kabisa tena kujipa haswa , ndio maana mimi huwa nasema mpaka nikifika 60 huko šš
Nitaoa ila pesa zinakuja kwangu kwa mwendo wa kobe ndio maanaš¤£š¤£š¤£šš¤£ 60? Wewe unakimbia kuoa huna lolote.
Unaona Ms R ninachokuambiaga ? š¤£š¤£š¤£.utulie tuli.
Kuleta umaskini wako kwèñye mapenzi utajikuta NI Malaya à mbaye asiye na vyeti.
Fanya Kazi
Saidiana na mwenzako.
Hayo ndƮo maisha
AmeeeeeeeenSema tawileeeeee
Noted with thanks.utulie tuli.
Kuleta umaskini wako kwèñye mapenzi utajikuta NI Malaya à mbaye asiye na vyeti.
Fanya Kazi
Saidiana na mwenzako.
Hayo ndƮo maisha
Yes hakuna anaependa umaskini lkn sasa ndio umejikuta upo humo muda unasonga ila hujatoboa bado. Ndio nikasema huu msemo wa mwanaume usioe mwanamke maskini ni kwa wanaume waliojipata tu vinginevyo utapata wa kufanana nae hakuna namna.Miss Kelsea hakuna Mwanaume anayependa umasikini na ndio maana huwa tunachukuwaga maamuzi magumu katika kutafuta hela japo nature nayo huwa imepanga mipango yake pia.
Niende uko nje nikafe,,bi mdogo mie nmetulizwa au unasemaješšWacha weee umepata ndio sasa uende wapi tena š¤£š¤£š¤£
Sisi hatujawahi kuwa na drama kama hizi unawafundisha vijana wenzako na ndoa zetu zimedumu nyinyi na drama zenu zote kila siku mnalialia kuhusu ndoaUkiona Watoto hawafundishiki ujue wewe NI Mzee uliyefeli karibu kƮla kitu.
Huwazi mfundisha Mtu Jambo ambalo ulifeli.
Mambo mengi Wazee wetu mlifeli hivyo mnastahili kupuuzwa
Huogopi madonda ya koošššššššChizi wewe unaniona baadala ya kuja nikupige dekiš
Kumbe umeoa,,niltaka nianze kukutegea mingoSisi hatujawahi kuwa na drama kama hizi unawafundisha vijana wenzako na ndoa zetu zimedumu nyinyi na drama zenu zote kila siku mnalialia kuhusu ndoa
Ila siku ukishakua utakuja kutambua kuwa haya yote uliyoandika ni pumba tupu
Mark this comment
Uzushi tuu huo wa wanazengo....hamna cha vidonda wala nini....ni full kuchezea kisimi na ulimi huku miguu yako ipo shingoni mwanguHuogopi madonda ya koošššš
Mingo inaruhusiwaKumbe umeoa,,niltaka nianze kukutegea mingo