Jinsi ya kumfurahisha mkeo katika Uislam

Jinsi ya kumfurahisha mkeo katika Uislam

Status
Not open for further replies.
Pamoja na yote hayo bado mnaongoza kwa talaka na umalaya sana.

mnaongoza kutelekeza wake na watoto aisehhh waislam mmelaaniwa kabisa hamtaki kusoma ni kuoa na phd za jinsi gani ya kumpenda na kuoa wanawake 10

yaani kila nikiwasikia natema mate chini
Jambo usilo lijua ni bora ukanyamaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na yote hayo bado mnaongoza kwa talaka na umalaya sana.

mnaongoza kutelekeza wake na watoto aisehhh waislam mmelaaniwa kabisa hamtaki kusoma ni kuoa na phd za jinsi gani ya kumpenda na kuoa wanawake 10

yaani kila nikiwasikia natema mate chini
Mkuu amani kwako, mkuu wewe si wa kwanza kulaani uislam na wala hautokuwa wa mwisho kuutema mate, walianza waloanza na leo wako wapi?.
Endelea kutema mate mpaka pale kichefuchefu chako kikiisha utatulia lakini tambua uislam upo na utakuwapo kwa idhini ya yule aliyetaka uwepo.
Amani kwako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waislamu walimuuliza bwana Yesu Kristu eti mwanamke huyu aliolewa na wanaume kumi na wote wakafa je siku ya mwisho huyu mwanamke atakuwa wa nani?

Yesu akajibu ukishakufa hakuta kuwa na kuoa wala kuoana ila uzima wa milele kwa waaminio injili yake.

sasa nyie oeni waliokosa bikra na ahera mabikira 72
Hapo tu hata mim pananiacha hoi,,,yaan hadi mbinguni mahala patakatifu ni ngono tu,,waislam wanapenda ngono jamani,,mawaidha yao mengi ni ngono tu
 
Uislamu sio dini ya kiarabu..nina haki ya kusema yale ulioyaona na sio povu kama unavyofikiri..hivi wewe ukikosewa imani yako ukaambiwa umelaaniwa na ukipita yeye anatema mate utaridhika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini tusisali kwa maneno ya kiswahili tu mpaka tuongee kiarabu
Niambie ni dini ya wapi
 
Sawa,lakin waislam kiboko
Kiboko au kifaru hilo halikuhusu..fuata imani yako na uheshimu imani za wengine..nitakupa mfano wangu mwenyewe kuwa naheshimu imani za wengine..leo nilikuta uzi unasema kuwa kuna baadhi ya makanisa huko ulaya waumini wake wameanza kusali bila ya nguo..sikutaka kuchangia chochote kwa sababu hayanihusu..nyinyi pia mheshimu imani za wengine..kibri sio sifa anayopaswa kuwa nayo mwanaadam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri yako we kafiri unaezini kwa kulazimishwa kuwa na mke mmoja.na ndio maana nazidi kuamini dini ya haki ni Islam kwakua haipendi watu wake wazini ndomana tukaambiwa tuanze na Wa wili mpaka wanne na tukishindwa ndo tuoe mmoja,yote nikuiepuka zinaa,kuacha ni matokeo yakutoelewana baina yenu hasa pale atakapoenda tofauti na utakavyo kwa ajiili ya MUNGU,na ndio maana nyie mnajidanganya kwa kutengana chumba au nyumba uku mkiendelea kuzini nje,and ukiwa unaona uzi usio husiana na wewe so lazima uchangie mana sio kila kitu lazima uchangie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haki inapatikana makaburini pekee! Usiwadanganye watu.
 
Na wewe sio lazima ulumbane.
 
Ngoja kwanza nikaslim nitarudi.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

hahaha yaan kwa jinsi ninavyokujua huku wewe uislam hufit ! wanawake weng wa kiislam ukiwafatilia sana wananyanyasika sana na utii wa kulazimishwa ! waachie wenyewe !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom