Jinsi ya kumfurahisha mkeo katika Uislam

Jinsi ya kumfurahisha mkeo katika Uislam

Status
Not open for further replies.
U again...

Wakija hospitali wachome sumu wafe ukaozee jela sheenz!

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamani mie sipo ivyo ni hapa tu jukwaani ila mimi ni mstaarabu sana na mpole ila sijui kwa nini nina chuki na nyie

Nisamehe kama nimekosea

Ila achana na mahakama naiogopa hiyo kila nikiisikia nafuata sheria isije ikanikata kata maana hizi kazi zetu ni kufuata sheria kama unaendesha gari ukienda kinyume unapambana na mhe. Jaji mkuu
 
Naamini ww hata kama unajiita mkristo lakini huna imani ya kikristo,chuki haizihilishwi hazarani,najua nyie makafili mnatuchukia sana,lakini sisi tunajua kuishi na watu kama ninyi mana ata MTUME WETUalitumia hekma na busara kuishi na nyie na ndomana akina OMARI na wengine kibao waka slim,lakini nakuombea kwa MUNGU Siku moja uje uijue dini ya haki ni IPI nautajihisi umechelewa sana,kama wenzako wanaoendelea kuslim huko mataifa ya magharibi,FRANK RIBERY,PAUL POGBA,MARHEM MICHAEL JACKSON,VIERA,ROBIN VAN PERSE NA BAADHI YA WASANII WA MAREKANI na kutokana na chuki zenu mna wasingizia kila aina ya mambo mabaya,ila mwisho wasiku padri na ma papa wanaujua ukweli wa dini ya haki ni ipi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sth very interesting. wanawake ni kama watoto they are sometimes up au down.. kuna muda mfano anataka kulala anaweza kulia ila sio kile kilio just kudeka.. we need to treat them calmly tena kwa furaha na huruma.. regardless yupo je.. na ninani kwako... hawa viumbe huwa siwaadhibu zaid ya kuwakumbusha na kuwaonya..

tuhurumiane nao...na tuwaombee dua, tuwasaidie, wanamitihani mingi mno ambayo kama tungeambiwa tuchague jinsia nadhani pasinge kuwepo na ke..
 
Waislamu walimuuliza bwana Yesu Kristu eti mwanamke huyu aliolewa na wanaume kumi na wote wakafa je siku ya mwisho huyu mwanamke atakuwa wa nani?

Yesu akajibu ukishakufa hakuta kuwa na kuoa wala kuoana ila uzima wa milele kwa waaminio injili yake.

sasa nyie oeni waliokosa bikra na ahera mabikira 72
Kwendraaaaaa poteaaaa wewe na huyo bwana wako anaekutia kiburi..yesu ndo kakufundisha ukosee imani za wenzio?
Kelb annar wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mie sipo ivyo ni hapa tu jukwaani ila mimi ni mstaarabu sana na mpole ila sijui kwa nini nina chuki na nyie

Nisamehe kama nimekosea

Ila achana na mahakama naiogopa hiyo kila nikiisikia nafuata sheria isije ikanikata kata maana hizi kazi zetu ni kufuata sheria kama unaendesha gari ukienda kinyume unapambana na mhe. Jaji mkuu
Na yatakukuta kwa chuki zako mwanalaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unahimiza mwanaume amfundishe mwanamke hasa quraan kwan haiwezekan mwanamke akawa anajua quraan kuliko mwanaume? au ataoa wa miaka 17 wakat yeye 50? Na inaonyesha mwanaume ndiye mwenye maarifa mengi kuliko mwanamke kwa nn unafikiria hivo?
 
Pamoja na yote hayo bado mnaongoza kwa talaka na umalaya sana.

mnaongoza kutelekeza wake na watoto aisehhh waislam mmelaaniwa kabisa hamtaki kusoma ni kuoa na phd za jinsi gani ya kumpenda na kuoa wanawake 10

yaani kila nikiwasikia natema mate chini
Kiki ulio itafuta umeipita.si ajabu nyumba ulio panga,kazi unayo fanya na vingi tu ni vya hao unao wapenda kuwachukia.
MwenyeEZMungu akuongoze.
 
Pamoja na yote hayo bado mnaongoza kwa talaka na umalaya sana.

mnaongoza kutelekeza wake na watoto aisehhh waislam mmelaaniwa kabisa hamtaki kusoma ni kuoa na phd za jinsi gani ya kumpenda na kuoa wanawake 10

yaani kila nikiwasikia natema mate chini
Mwenye chuki huficha chuki yake kwa maneno mazuri : Bible (26:24)
 
Mbona unahimiza mwanaume amfundishe mwanamke hasa quraan kwan haiwezekan mwanamke akawa anajua quraan kuliko mwanaume? au ataoa wa miaka 17 wakat yeye 50? Na inaonyesha mwanaume ndiye mwenye maarifa mengi kuliko mwanamke kwa nn unafikiria hivo?
Hii ni Mada ni kwa wanaume IPo ya wanawake pia itafute
 
Ndio maana nashindwa kuleta uzi kuhusu dini yetu kwa sababu najua kuna wana laana humu..kutukosea imani yetu ni jambo jepesi sana kwao..kama huyu mnafki mwanalaana aliyekubuhu unafki kwa kuweka profile ya Asad ambae ni muislamu..we mmbwa mbona hukuitemea mate hiyo profile yako?

Sent using Jamii Forums mobile app

Me Watu wa hivi hawanisumbui.
 
Pamoja na yote hayo bado mnaongoza kwa talaka na umalaya sana.

mnaongoza kutelekeza wake na watoto aisehhh waislam mmelaaniwa kabisa hamtaki kusoma ni kuoa na phd za jinsi gani ya kumpenda na kuoa wanawake 10

yaani kila nikiwasikia natema mate chini
Hata papa kaona umuhimu wa Taraka muda si mchache atahalalisha.
Bakiza maneno mkuu maana nyie ni watu wa kuamuliwa na papa yy ndio kilakitu akinena yy wew lazima ufuate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na yote hayo bado mnaongoza kwa talaka na umalaya sana.

mnaongoza kutelekeza wake na watoto aisehhh waislam mmelaaniwa kabisa hamtaki kusoma ni kuoa na phd za jinsi gani ya kumpenda na kuoa wanawake 10

yaani kila nikiwasikia natema mate chini

Hivi kuna Jamii inaongoza kwa kutelekeza watoto kama nyinyi maana mkizaa nje tu yule mkeo hataki hata kumsikia na mnaongoza kuwa abuse wake zenu mpaka kuwauwa ushasikia muislam anauwa mke ? Wakishindwana wanaachana nyinyi wake zenu mnawaletea mpaka vimada ndani mke inabidi abaki kulialia kanisani
 
Kwa kweli kwa kutalakiana tu wanaongoza, sasa sijuwi sababu hawafuati hii list ndefu kama mlima kilimanjaro au ni ruksa kwa wao kuoa na kuacha bila kirahisi rahisi hivyo!
Point zote ni "wishful thinking" kwa maisha ya sasa, na hata atakayeweza kuyafanya hayo haimanishi mwanamke bado ataridhika..ila katika porojo hii list yafaa..

Nyinyi mafundisho ya ndoa pia yanawafundisha kuwapiga wake zenu maana mnaongoza mpaka mnawatia vilema wanawake wangine masikini yamungu wanaishi kuwa wamama wa kanisa kushinda kanisani kwa stress mnazowapa mwisho wasiku mnaishi uwongo kwa kugawana vyumba alafu nje mnaitana mke na mume
 
Unafanana sana na Kunduva my dear??......Wewe ni Kunduva katika ID ya pili?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom