Jinsi ya kumfunza mtoto mdogo kuongea vizuri

AUTISMIS a disorder of neural development characterized by impaired social interactionand verbaland non-verbal communication, and by restricted, repetitive or stereo typedbehavior

Mmmh disorder tena..?? Mbn unanitisha ebu kwnz mkuu speak in English...
In a layman's language...
 
Kwanza kuna vitu vingi vinachangia mtoto kuonge mapema. Kama kuna watoto wengine wakubwa zake, hujaribu sana kumwongelesha na yeye hujitahidi. Tatizo tulilo nalo siku hizi hatuna family extended au unapokaa utakuta upo na house girl na nyie tu.

Kwa mvulana ni mapema sana, hata kuelewa vitu huchelewa, ila jiande kwa utundu.
 
Mmmh disorder tena..?? Mbn unanitisha ebu kwnz mkuu speak in English...
In a layman's language...
Mpotezee. He has just learnt the word and decided he just had to use it before the end of the day.
 
Kwanza kuna vitu vingi vinachangia mtoto kuonge mapema. Kama kuna watoto wengine wakubwa zake, hujaribu sana kumwongelesha na yeye hujitahidi. Tatizo tulilo nalo siku hizi hatuna family extended au unapokaa utakuta upo na house girl na nyie tu.

Kwa mvulana ni mapema sana, hata kuelewa vitu huchelewa, ila jiande kwa utundu.

Mkuu utundu usiseme...kila kitu anavulugua..dressing table ya mama ake ndio uwanjani kwake..ila na hamu kweli nikisia kanaongea...
Nimeanza kufanyia kazi baadhi ya ushauli wa wadau hapa...sa hivi nakaacha kacheze ni vitoto vya jirani hapa mtaani.
Si unajua mtoto wa kwanza I was overprotective naogopa akijichanganya
 
Mimi mwanangu wa kike hadi anafika miaka miwili na nusu alikua anaongea kwa mawenge sababu ya kutojichanganya nikaamua nimpeleka shule baby class wananchi wengi walinikosoa kwamba ni mdogo baada ya miez mitatu alikua anaongea kuliko waliomzid miez na nikaona majiran wengi wanamuulizia wife details za shule anayosoma,kumpeleka shule mapema inasaidia sana

Kweli mkuu wangu ana 1.9 nimempeleka baby class kimtindo ameongeza maneno anayoweza kuyatamka kwa ufasaha! Baby class itamsaidia aongee mapema kulika kukaa na dada wa kazi mda wote yupo busy na shughuli zake
 
Mkuu utundu usiseme...kila kitu anavulugua..dressing table ya mama ake ndio uwanjani kwake..ila na hamu kweli nikisia kanaongea...
Nimeanza kufanyia kazi baadhi ya ushauli wa wadau hapa...sa hivi nakaacha kacheze ni vitoto vya jirani hapa mtaani.
Si unajua mtoto wa kwanza I was overprotective naogopa akijichanganya

Kama yupo active, hana tatizo lolote....mpe muda tu atachanganya
 
Kama yupo active, hana tatizo lolote....mpe muda tu atachanganya

Yeah he is active anapenda kucheza music akisikia wimbo wa diamond utamuona anainuka na kuanza kucheza...ukimwambia nipe tano anakunja ngumi anakupa tano...
 
Kweli mkuu wangu ana 1.9 nimempeleka baby class kimtindo ameongeza maneno anayoweza kuyatamka kwa ufasaha! Baby class itamsaidia aongee mapema kulika kukaa na dada wa kazi mda wote yupo busy na shughuli zake

Itabidi nami wa kwangu akifikisha umri huo baby class ihusike...
Ila vipi siku za kwanza kwanza uliwezaje kupata amani..
Si unajua mtoto wa kwanza mzazi unavyokua na uoga uoga
 
Mara nyingi watoto ambao hawajichanganyi na wenzao uchelewa kuongea. Angalia mazingira ya nyumbani kwako.
 
mtoto wa kwanza bwana mtu unakua overprotective sasa mtoto wa mwaka mmoja unaandika thread haongei wakati wengine miaka mitatu wanaongea mpotompoto,lea mtoto acha mapepe

duuh umenifurahisha sana,mtoto wangu ana mwaka mmoja anapenda kusema hilo neno mpotmpot hahahaaaa
 
Kweli mkuu wangu ana 1.9 nimempeleka baby class kimtindo ameongeza maneno anayoweza kuyatamka kwa ufasaha! Baby class itamsaidia aongee mapema kulika kukaa na dada wa kazi mda wote yupo busy na shughuli zake

mkuu baby class hiyo ipo wapi nami nimpeleke wangu?
 
waoto hutofautiana
wengine huwahi sana wengine hutangulia sana. kwa ujumla wa kiume huchelewa zaidi
mwanagu ana miaka mitatu na kwa sasa anajua A hadi Z na kila neno linaloanzia na herufi hizo
pia anajua kuimba na kuhesabu,lakini hajui kuongea direct full sentence ila anajua vitu na majina yake..
na kuongea sentesi fupi fupi mdano nina njaa,au nataka chakula,au how r u dad nk..
Huyu ameanza shule akiwa na mwaka mmoja, na shuleni wana lugha tofauti huku tulipo ni nchi za watu na home tunaongea lugha ya kiswahili.

Mnapoongea msemesheni kama mtu anaelewa na tumieni mifano kwa wingi
mpeni muda wa kucheza na wenzake nje
mzazi tafuta vitabu vya watoto vyenye picha soma nae muulize kama anaelewa picha msimulie walau maneno matano kwa siku....
taratibu ataelewa wala msiwe na wasiwasi

.
Mkuu kikawaida mtoto wa kiume huwa anaanza kuongea kuanzia miaka mingapi...
 
Mkuu bado hujaelewa...maneno hutokana na rate ya socialization siyo umri...coz the more anavyo socialize ndio the more anavyopick up words na michezo mbalimbali...can't this get into your mind?

Mkuu DON sasa nimekuelewa vizuri
 
Last edited by a moderator:
mtoto wa kwanza bwana mtu unakua overprotective sasa mtoto wa mwaka mmoja unaandika thread haongei wakati wengine miaka mitatu wanaongea mpotompoto,lea mtoto acha mapepe

Mkuu ka unamtoto nafikiri na we ulipiitia hali hii kwa mwanao wa kwanza.
Baada ya kuanzisha uzi huu nimejifunza mengi sana kama baba on top of that tumepata fulsa ya kubadilishana experience wazazi
huu uzi umekua useful sana sio kwangu tu mimi hata kwa wazazi wengine so sioni kama kuna tatizo katika hilo
Nashukuru mdau hata wewe umenipa moyo wa kuwa na subra
 
Back
Top Bottom