Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Mkuu Nifundishe jinsi ya kumdate Faiza Foxy.
Umejitoa ufahamu au umesomea ujinga cc f foxy
Mkuu Nifundishe jinsi ya kumdate Faiza Foxy.
Wanasemaga Mapenzi ni upofu![]()
![]()
![]()
![]()
Umejitoa ufahamu au umesomea ujinga cc f foxy
Hahahaha..we jamaa bwanangoja waje mariyoo wenzio
Uko serious kweli au una stress za 4G za yangaMi nataka nimdate Mo Dewji sijui unanisaidiaje![]()
Kama unajiamini,na una vigezo at least basics,njoo pm.Mi nataka nimdate Mo Dewji sijui unanisaidiaje![]()
Yaani, imagine that. Mdume mzima eti unamuwinda mwanamke, halafu kimaslahi zaidi. 🙂