jinsi ya kumdate mwanamke tajiri

jinsi ya kumdate mwanamke tajiri

Vijana mna kazi sana..

Ukishampata huyo mwanamke tajiri?
 
haha bahati nzuri zaidi ni pale utakapoenda kuwinda hizo places, bila kujua kuwa huyo unayemuwinda pia yupo hapo kuwinda while hana chochote

Kama you are that much rich, kuna high possibility ya kuwa na wanawake wa type yako in your circle, no need ya kwenda kuwinda.


Haha, jamaa kanichekesha, nilisikia hili la wanawake pia kulindwa, sasa nimehakikisha.
Halafu haya mambo ya kuwinda, ndo hapo wakutane wote wanawinda. Sipati picha maongezi yao yatakuwaje wakigundua wote wanawinda.
 
Kama unamuongelea Deborah Meaden hapo sawa maana hapa kwetu mwanamke mwenye private jet sijui kama yupo
 
Lol! Muwindaji mzuri ndiye ataibuka kidedea. 🙂🙂🙂

Haha, jamaa kanichekesha, nilisikia hili la wanawake pia kulindwa, sasa nimehakikisha.
Halafu haya mambo ya kuwinda, ndo hapo wakutane wote wanawinda. Sipati picha maongezi yao yatakuwaje wakigundua wote wanawinda.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Teh teh teeeeeh!! Ndipo vijana wetu walipofikia mama, wakiwakosa hao watastuka kuwa wanaume matajiri ndio wengi basi watafundishana jinsi ya kuhamia huko. Imbombo ngafu.


Haha, uwii!...lol
 
We mpumbavu na maskini wa akili ngoja waje wenzio wakusapoti. Na mashoga hamtaacha kuongezeka kwa style hii, unamfanya mmama wa watu, baadae anaanza kukunyonya na kukutia kidole kitundu huzuni. Baada ya ulimi na kidole anaanza vidildo halaf ukuni utautafuta mwenyewe
 
habari wanajf leo ntaelezea namna ya kumdate mwanamke tajirir;yaani mwanamke mwenye mkwanja wa maana,yaani mwenye private jet,makampuni ya kutosha,magari ya maana na sura yenye mvuto
mwanamke kama mwanamke anaweza akawa na mali za kutosha but bila mwanaume pembeni yake hawezi kuishi kwa raha maisha yake yote

kwanza kabisa inabidi ujue wanawake wa dizaini hizi wanapatikana wapi
  • pendelea kutembelea mahoteli ya maana na club zenye hadhi
  • pendelea kutembelea mafunzo ya real estates;huku utawapata wale wanawake warembo wanaotaka kujifunza namna ya kuendesha biashara ya mijengo
  • jiunge na gym za maana
  • jiunge na vituo vya kufundishia lugha za kigeni;huku utawapata warembo wanaotaka kujifunza lugha za kigeni ili waweze kufungua makampuni sehemu husika
ukishajua wanawake matajiri wanapatikana wapi basi ni tyme ya kujiandaa kumnyakua
  • jiweke fiti kwanza kwa mazoezi,push up hamsini asubuhi na pushup hamsini jion;hii itakuweka katika shepu fulani ambayo ina mvuto wa aina yake
  • jiweke sop sop sio lazima ununue nguo za bei ghali hata za mtumba poa
  • jifunze utaalamu mdogomdogo kama kufix engine ya gari,kurepair electronic equipments hii itakufanya uwe multi talented etc
itaendelea kesho..............................
Asantee sana mkuu lete mwendelezo
 
na utufundishe namna ya kuiba pesa zao na kuficha miili yao isionekane kwenye post ijayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom