Jinsi ya kumdaka tapeli

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,616
1,714
Habari wakuu

Juzi wifi/shem wenu ametapeliwa kiasi cha pesa zaidi ya Milion mbili akiwa katika harakati za kutumiwa mzigo kutoka USA kuja Tanzania

Kwa kufupisha habari, inaonekana kuna matapeli walitumia mgongo wa Ofisi za DhL kumtapeli,

Ila hawa matepeli bado wapo hewani,

Naomba kufahamishwa njia gani tunaweza kutumia ili kuwakamata

Nb, bado hatujaripoti polisi.
 
Alitapewa namna gani? Huyo mtu aliyekuwa anamtumia mzigo anamjua? Siku hizi kuna visa vingi sana vya watanzania kuadanganywa na kuanzisha urafiki kwenye mitandao na watu wanaojifanya wako nje, halafu yule aliyeko nje anajifanya kutuma ''zawadi'' na hiyo zawadi, ambayo inakuwa ni ya uongo inatumika kumpiga mhusika fedha.
 
Hii style nimeshajaribiwa mala kadhaa, jamaa wanahack emails zako, wakisense kuna mawasiliano ya kifedha ama potential yako wanakujaribu, dhubutu yako kukutwa na bwana Pepsi...
 
Kabla ya kujua hizo njia za kumkamata tapeli tambua kuwa tapeli anazijua hizo njia zako
 
Kutapeliwa ni tamaa ya mtu kupata maradufu
Sijaelewa umetapeliwa namna gani ila kila mbinu zinatumika kuzika watu na ukikaa kwenye line umeumia

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom