Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
Utamjuaje Mganga Taperi.
1) Muonekano wa Nje
Ukiona mganga amevaa matunguri mengi kwenye mwili wake huyo sio mganga amini,Hana uwezo wa Kufanya mambo makubwa huyo, Mganga kabisa Huwezi kukuta Amevaa kitu chochote au hata kama akivaa basi nikitu kimoja tu kiasi kwamba hata akipita hapa Huwezi Ukamjua.
Mganga anae vaa matunguri mengi ni taperi kwa sababu yeye tu ameshindwa kuipangilia mizimu yake ikubali asivae hayo mazaga ,Ataweza kukuagua wewe.😆✍️
Ujue waganga hua mizimu inapanda mixer majini ,Anaambiwa avae kitu flani na Flani Lakini sasa ,Hapo mganga atatakiwa apelekwe na yeye kwa mganga ili ,ile mizimu ikapangiliwe katika mpango sahihi ili iweze kutulia na Kufanya kazi kwa weledi.
Au yeye mwenyewe anatakiwa apambane kuhakikisha mizimu inatulia na kukaa katika mpangilio sasa kama yeye imemshinda ikalazim akae amevaa mazaga zaga mengi wew atakuwezea wapi?
Kila mganga nae ana mganga wake ,iko hivo Wanazidiana Ujuzi na maarifa ,kwahio hua wanaachana Madaraja.
2) Maneno Mengi
Mganga wa kweri hua hana maneno mengi ,wala Hua hajisifu akiongea maneno moja mawili imetosha.
3) Kwenye kutoa Dawa
Mganga wa kweri Dawa ambazo hua Anatoa nitudawa kidogo sana ,kwanini kidogo ,kwa sababu Dawa zake nizagharama Amechimba miti na ameweka vizimba humo.
Vizimba ni nini
Vizimba ni vitu vya kuchanganyia kwenye Dawa ili ifanye kazi kwa weledi Mfano wamechimba mizizi ya Mkwaju sasa ikiwa ivo ivo haiwezi kufanya kazi inabidi ,Liwekwe Kende La Simba au Kende La kasongo Sasa unalipataje? Hapo ndopo Pesa inahitajika. Kende likipatikana litachomwa moto au linakaushwa linasagwa unapatikana Unga wake ambao unachanganywa kwenye mti husika.
4) Kwenye Bei na Malipo
Mganga wa kweri Hajawai kua na Bei ndogo ,Unaenda kwa mganga anakuomba Laki 1 ili akupe Utajiri😆Utajiri wa laki moja we hushtuki Mganga wa kweri na Mkubwa Kumuona Tu kwanza kipengere,Bei sasa Utaskia Leta M2 au M10.
5) Maisha ya mganga
Unakuta mwamba Anatembelea Gari Tak-o la nyani Au anatembelea Kuruga,Au masediz Benz nyumbani kwake ukifika Nyumba Kari ,Pako safi Simanishi Wasio na maisha mazuri hawana Dawa za kutibu hapa ila wengi wao wanakua Mataperi hawana uwezo kidawa ndio maana hata mafanikio
Chakumalizia Tu ni kwamba Usiache kwenda kwa waganga we nenda; usione aibu kwenda eti watu watakuonaje, Pigwa chale, Oga dawa Fanya matambiko, Roga unavyoweza mambo yatakua🔥
Tawile 👴🏾