Jinsi ya kula na kulala bure jijini Dar es Salaam

sawa yeye atakula na kulala, mke na watoto wake, na future yake inakuwaje, na mama yake aliyemuacha kijijini kuwa anakuja kutafuta maisha mjini inakuwaje? think twice!!!
 
Kwa mji huu watu wanavyotafuta pesa kwa shida we ukalete janjajanja utaishia kuchezea vitasa kwa sanaaa
 
Halafu usipende vya dezo badala yake ungekuja kuwambia watu jinsi ya kufanya biashara hata kwa kipato cha chini walichonacho. Au kuishi kwa malengo na bajeti vt kama hivyo.unekuja kuwaponza wenzako mleta mada we mbaya bwana
 
ha ha ha hiyo ya daladala mmmh!!! hapana unaweza kung'olewa meno ya mbele bado haijakaa vizuri
 
Ukitaka kula bure nenda kaweke maskani Kariakoo shimoni ndani mule ful kujiachia utakula matunda mpaka uwe unanukia matunda matunda.....
 
Hivi saa izi ni saa ngapi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Yakulala hotelini ni ngumu mkuu kwani wanauliza number ya chumba ulicholala

Wengi tu huwa hatutumii hizo braekfast za vimikate vya kiwango cha chini na yai la kuku wa kizungu!Tunatafutaga supu ya samaki ama kuku kuondoa hangover.Kwa hiyo wahudumu walishazoea tu mikate hiyo na mayai hubaki sana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ukitaka kuyaweza hay a jifanye mkongoliz ujue kusifia .kufahamu mambo ya watu waliopata walioishiwa kumbi za starehe mpya kuwadi wa vishamshuda. Hapo nenda mango garden .PR kamp . Uhuru pk jakaranda na g8
 
Back
Top Bottom