Jinsi ya kukata pombe within 1 minute

Mimi cjui tofauti ya ndimu m.a limao, naomba nifahamishwe kama vyote vitakata!

ndimu ni vile vidogo vidogo saizi ya tunda 4 za zabibu zikiungana. limao ni haya makubwa yenye pimples milimao ipo mingi tu hapa dsm, nenda gengeni watakupa ndim, ila angalia wasije wakakutia ndim, wakakupa limao
 
Duh JF hakuna kinachoshindikana... Ukija jukwaani lazima upambane na kitu kipya...
 
ndimu ni vile vidogo vidogo saizi ya tunda 4 za zabibu zikiungana. limao ni haya makubwa yenye pimples milimao ipo mingi tu hapa dsm, nenda gengeni watakupa ndim, ila angalia wasije wakakutia ndim, wakakupa limao

Shurani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…