Jinsi ya kukata kiuno..

Chaimaharage

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
211
Reaction score
78
Jinsiya Kukata Kiuno

1-Simama wima(ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it'll work better), weka mikonoyako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (litunishe) baki hivyo kwa mudakisha lirudishe kwa ndani na ubaki tena hivyo kwa muda. Rudia kufanya hivyo maranyingi uwezavyo na kumbuka kubana pumzi huku mdomo ukiwa wazi (itasaidia kukazamisuli ya tumbo pia), kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, chap-chap,kugandisha n.k) mpaka utakapo hisi tumbo lako linatetema/tikisika (yaanivibrating).

Msingi wa kukata kiuno

Kama nilivyosema awali, simama wima najishike kiunoni(kuhu na huku) kishapeleka sehemu ya kiuno ya kulia upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbeleuwezavyo(nina maana ile pelvis tu sio tumbo na kila kitu) alafu baada ya hapopeleke sehemu yako ya kiuno ya kushoto-kushoto, kisha peleka sehemu yako yambele nyuma hali itakayofanya ------ yako yabinuke/jitokeze kwanyuma.....nyoosha magoti kisha rudi kulia (ulipoanzia).


Fuata hatua hizo kwa mara nyingine tena ambazo ni simama wima-kulia-mbele-kushoto-nyumakulia x 20 na kuendelea inategemea zaidi na bidii yako.


Baada ya kuzoea hatua hizo hapo ndio unapotakiwa ku-create movements namirindimo yako kivyako. Mfano lala chali, kifudifudi(lalia tumbo), ubavu,chutama, piga magoti n.k kisha nenda kulia-mbele-kushoto-nyuma-kulia mpakakiuno kizoee..... alafu usisahau ukiwa ndani ya "game" kukilazimishampaka kitakapo kubali/zoea.

Kidokezo: Zoezi zuri la kukata kino ni kulala kifudifudi(kulalia tumbo)kisha kukizunguusha (hapa usipokuwa mwangalifu unaweza ku-cum via kisimi kwavile unatua unakisugua kiaina sio mbaya ni njia moja wapo ya kujipunguziastress sio ).

 

Kimbweta mbona asubuhi sana..kulikoni?
 
Last edited by a moderator:

May we have some practicum? I guess we're done with all these theories...
 
Jamaa kakikatisha weee usiku then asubuhi anakuja kutuwekea theory. Kama unapenda kuwasaidia watu ungeweka ka-movie fulani hivi ili watu wanaotaka kuwa expert kwa hayo mambo waone namna inavyotakiwa kukata kiuno.
Thanks
 
Hicho kiuno unachoelekeza hapa ni cha kike au cha kiume? Tusije tukadesa hadi jina hapa, unaenda kwa demu wako anaanza kuhisi kama anasagwa badala ya kupanda
 
Ndo raha ya Jf bana... ukiamka we unatundika tu li uzi lako afterall the shi...t is free...
 
JF patamu bana!! Unaweza cheka mwenyewe na simu watu wakakuona chizi..


Sent from my EyePhone
 
Sasa unatuambia saa hizi tutapractice vipi na morning glory session ishapita? Au nikate mauno wakati napiga deki na kulisha kuku?
 
@ kimbweta!Andika na source!!usicopy kazi ya mtu bila kuaknowledge!!
 
mbona knga moja hawajapitia stage hii huku ni kuchoshana tu!!
 
Umenikumbusha mbali nilipokua 16yrs nilienda kumsalimia bibi Tanga kufika tuuhata siku 3 hazikuchukua muwekeni ndani
lazima apigiwe ngoma duh nilichukia mpaka basi miezi miwili ndani huko kiuno mtu vibibi vika kata kiuno kama paka chongo.
lakini ukitoka uko aaaaaaaaaaa! huna tabu ya kukizungusha unampeta kulia nakushoto...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…