Mayova
JF-Expert Member
- May 10, 2018
- 231
- 217
Ndugu zanngu mambo vip?
Kumekuwa na upigaji mwingi sana kwenye biashara za mafriji hasa mafriza. Wengi tunauziwa mafriza tunaambiwa freezer hilo ni ujazo fulani kumbe sio. Mfano unaweza kuambiwa freezer lina ujazo wa lita 100 kumbe ni lita 50. Naomba mwenye utaalamu wa kujua ujazo wa mafreezer au jinsi ya kusoma ujazo wa freezer atupatie uzoefu. Ahsanteni sana