Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 126
- 194
Inashauriwa ni vyema kufanya search na kupata taarifa za Kampuni kabla hujaingia nayo ubia au kufanya biashara.
Lakini swali la msingi hua ni namna gani unaweza pata taarifa zote za muhimu za Kampuni?
Linapokuja suala la search watu wengi hukimbilia online sites na ku search Kampuni husika, na wanaishia kutopata taarifa zozote za msingi.
Vipi kama nikikwambia Brela inaweza kukupa taarifa za Kampuni Yoyote Ile unayotaka?
Well, kwenye thread hii nimekuandikia hatua 5 za kufuata ili kupata taarifa za Kampuni Yoyote Ile.
1. Ingia kwenye website ya Brela na ujisajili kupitia mfumo wao wa Brela ORS.
Hapa utajaza majina, NIDA na email.
2. Kwenye list ya huduma zilizopo chagua information services.
Hii ni section yenye taarifa zote za makampuni.
3. Chagua Request for standard search
Ambapo hapa utakuta vipengele viwili
I) custom search
ii) Detailed information about the company
4. Chagua Detailed information about the company
Hapa utaingiza credentials za Kampuni husika kama jina na namba ya usajili.
5. Confirm payments
Brela itakutaka ulipie ada ya kupata hizo taarifa Tsh. 22,000.00 na Itakupa control number.
Ukilipia ndani ya dakika 5 Tuu utapata taarifa hizo kwa mfumo wa PDF.
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni,
Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni biashara au leseni unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite Lawyer.