Jinsi ya kujiunga na jeshi kwa maana ya JKT

Jinsi ya kujiunga na jeshi kwa maana ya JKT

danmvunta

New Member
Joined
Nov 25, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Napenda kujiunga na jeshi ila sijui ukweli ni kuwa sielewi mahali pa kuanzia
 
ndugu subiri mwezi huu wa pili makao makuu ya jkt walisema utaratibu utaanza ,,,be patients kuna form zitakua zinapatikana huko wilayani,,,
 
Anza kutembelea mara kwa mara kwenye ofisi za halimashauri yako mwezi huu ndo fomu za kujiunga zinatolewa. Ulizia ofisi ya mshauri wa mgambo hapo Halimashauri ndo anahusika na huu mchakato
 
Mwaka huu hakuna vijana wa kujitolea wanaoingia jkt

Kivip mkuu na wakati jkt walitangaza official kwamba mchakato utaanza mwez wa pili. Na hawajatangaza official kwamba wameghairi. Hizi taarifa zako umezitoa wapi?
 
Back
Top Bottom