Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

Fungua play store yako, halafu angalia kiduara kilicho pembeni ya alama ya kengele click then nenda kwenye payments and subscription, halafu unsubscribe
 
Wakati Mange Kimambi ananua Magari ya kifahari na kuishi kifahari Jimboni Calfonia kwenye Jiji Pendwa la Maraha la Los Angeles,huku Tanzania kuna Mpumbavu,Zezeta,Tahira,Zwazwa,Nyang'au,Zumbukuku,Mbumbumbu,Mjinga,Limbukeni na Mkoswa akili mmoja anaihurumia 2300 ambayo anakatwa kila mwezi kwa matakwa na Kiherehere chake cha kutaka kufatilia maisha ya watu ambayo hayawezi kumsaidia chochote.

Wajinga na Mazezeta wanaopigwa hela na Mange si wewe peke yako hata humu JF yapo mengi mnooooo!.

Hivi kufuatilia maisha ya watu inawasaidia nini?


Kufuatilia maisha ya watu inawaingizia nini kwenye akaunti za benki?

Kwa mfano,mimi kujua Diamond Platnumz anafirana na Zuchu itanisaidia nini mimi Personally?

Wakati Mange anapiga Millions of Money per Month kuna mijitu hainufaiki hata na huo udharirishaji anaoufanya Mange kwenye App yake.

Mange alikaa akaumiza akili akaona Kuna Ng'ombe kadhaa Tanzania ambazo hazina Akili timamu akaona aje na Idea ya Umbea,na kupitia umbea huo Anazikamua hizo Ng'ombe kisawasawa hadi nyingine zimeishiwa maziwa zinaanza kutupigia kelele.

Wewe Raia Fulani sidhani kama uko timamu kichwani
 
Wakuu za asubuhi
Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi?

Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta akaunti yangu inashindikana. Maelezo niliyopewa kama nilijisajili kupitia app store basi niingie huko nikiona hiyo app ni unsubscribe. Wala sijaiona. Mange mwenyewe hajibu meseji zangu kupitia platform zake. Nia yangu niachane na hiyo app tu kwa sasa. Wazee wa tech tafadhali
Enda kwa setting then u search “subscription” then click hiyo app afu fuata maelekezo ya ku unssubscribe.
 

Attachments

  • FB89E995-9B67-4EFB-9014-E525380E2AAD.jpeg
    FB89E995-9B67-4EFB-9014-E525380E2AAD.jpeg
    36.9 KB · Views: 4
  • EADECF2C-4D66-4AEB-943B-C94D188BF57D.jpeg
    EADECF2C-4D66-4AEB-943B-C94D188BF57D.jpeg
    42.1 KB · Views: 1
Basi kila mtu humu anajifanya hana na wala hajawahi kuvutiwa na Mange App😂

Mkuu njoo pm nikuelekeze namna ya kujitoa, ni rahisi tuu..

Njia nzuri ya ku subscribe ni kupitia Google Pay maana unaweza ku cancel subscriptions kupitia hukohuko Google kwenyewe anytime..

Mimi nimesubsrcibe mwaka mzima, wale wapiga spana nipigeni spana mnavyotaka ila sitoki ng'ooo😂

View attachment 2771307
Tuambie basi aaliyah na zuchu wamefanyaje,wengine ela hatuna ya kujiunga jua kali mifukoni
 
Wabongo bhana 😁😁,
humu kila mtu hajajiunga Ila thread za mavitu ya mange huwa zinapata comments na views za kutosha. Bado connection za mastar akizivujisha, kila mtu anaomba desperately

Mange anachukiwa Ila vitu vyake vinapendwa, kila mtu hajajiunga Ila mange anaingiza millions of shillings kila mwezi. Wabongo wenzangu em make it make sense 😁
😅😅😅 tuzowee Mkuu.
 
Wewe ukimnyima hiyo 2.3k unadhani ndo utamzibia riziki yake?

Kila mtu na starehe yake mkuu, kama wewe unaona bora hiyo 2.3k uinywee bia, mwingine starehe yake ni kusoma umbea wa watu maarufu...

Vivyo hivyo ambavyo JF haipendwi na watu wengi mitaani, wengi wasioipenda wanasema JF huwa wanaandika taarifa za kupotosha na ni waongo ndiyo vivyo hivyo ambavyo akina nyie mnai-perceive Mange Kimambi App kwamba hakuna cha maana kule zaidi ya umbea. Lakini waliomo mule wanajua raha yake..

Hivyo tuliza kiranga.
WEWE NI ZEZETA,ZWAZWA, TAHIRA,PUMBAVU,JINGA,HOPELESS,ZUMBUKUKU.
 
Wakuu za asubuhi
Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi?

Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta akaunti yangu inashindikana. Maelezo niliyopewa kama nilijisajili kupitia app store basi niingie huko nikiona hiyo app ni unsubscribe. Wala sijaiona. Mange mwenyewe hajibu meseji zangu kupitia platform zake. Nia yangu niachane na hiyo app tu kwa sasa. Wazee wa tech tafadhali

Updates
Nimefanikiwa kujitoa kwenye usajili husika. Kwa namna ya pekee napenda kuwashukuru Nobunaga na Dr Restart kwa ushirikiano wao na kuonyesha kujali.

Nimejifunza:
1. Humu JF kuna watu wajinga sana. Nawaombea wasifike hatua ya kuwa wapumbavu
2. Wema bado wapo ila wachache
3. Wengi humu wanapenda mada nyepesi nyepesi wakitumia mgongo wa u great thinker
4. Wengi humu wana stress/msongo. akipata upenyo wa kutoa stress zao wanabwaga tu nyongo. Inajionyesha kwenye post zao

Mwisho, MODS naomba muufute huu uzi. Si lengo langu kuharibu biashara ya mtu bali wao wenyewe walishindwa kutoa mwongozo wenye kueleweka. Hivyo basi Active Boqin BlackBold na wengine tafadhali futeni huu uzi

mwanaume uko mange kimambi app na unalipia kabisa
 
Back
Top Bottom