Jinsi ya kuji ublock WhatsApp

Afu we jamaa ni zuzu unaandika vitu usivo vijua eti kuji ublock badala ya kuji unblock....kweli rudi darasani...
Sikuona mkuu ni makosa ya kimaandisha asante zuzu mwenzangu mana hujanipa msaada bado
 
Kwa sasa naona ma engineers wa WhatsApp washa fix hizo loop holes za kipuuzi puuzi kupitia updates za mara kwa mara....
 
Mkuu me nshagawahi kujiunblock kwa njia hii ila ni muda kidogo... so labda kwa sasa hii trick ni inviled na pia encryption ya whatsApp ni kubwa sana kwa sasa...since nowdays it is being frequently updated.
Inawezakana mkuu huenda kuna njia nyingine wajanja wameshazijua tusubiri.asante
 
Inawezakana mkuu huenda kuna njia nyingine wajanja wameshazijua tusubiri.asante
Ndio mkuu... lakini hata uki google kwa sasa bado hakuna njia mpya ya kuji-unblock kwa hizi versions za siku izi otherwise utakutana na izo za zaman ambapo ata me nilitumia,...

Hebu jaribu kufanya ivi creat group la whatsapp au mwambie rafiki ako atengeneze group la whatsapp afu mpe io namba ya uyo alie kublock ili ai "add" afu aku add na wewe nazan utaweza kuwasiliana kwa njia hii ila make sure ume hide privacy yako kama profile pic, namba na vngnevyo ili asikutambue kwa urahisi....

Ni mawazo tu...
 
Hiyo njia niliwahi kutumia last year ilikuwa inafanya kaz fresh tu

Hizo loopholes whatsapp walishaziziba since January kama sijakosea
Labda Kama kuna njia mpya wadau walete hapa
Ni kweli... naona asaiv hii loophole haipigi kazi isha expire....
 
Ndio mkuu... lakini hata uki google kwa sasa bado hakuna njia mpya ya kuji-unblock kwa hizi versions za siku izi otherwise utakutana na izo za zaman ambapo ata me nilitumia,...

Hebu jaribu kufanya ivi creat group la whatsapp au mwambie rafiki ako atengeneze group la whatsapp afu mpe io namba ya uyo alie kublock ili ai "add" afu aku add na wewe nazan utaweza kuwasiliana kwa njia hii ila make sure ume hide privacy yako kama profile pic, namba na vngnevyo ili asikutambue kwa urahisi....

Ni mawazo tu...
Hatari sana we chief hebu tuone kama litafanya kazi hili wazo japo muhusika amesha ni unblock,ngoja nijiblock mimi kwa simu nyingine alafu nijaribu hii kitu
 
Jinsi ya kujiondoa JF. KUNA mtu anataka kujiondoa huku tafadhali nielekezeni nimwambie afanye nini
 
Wajuvi wa mambo naombeni msaada jinsi gani nitaweza kuji ublock whatsapp kuna mtu ameni block alafu yupo mbali siwezi kushika simu yake
Fanya hivi badili namba ya account ! Alafu wasiliana nae uanze kwa kumuomba samahani kama umemkosea alafu mpe romantic word aregee! Kisha muahidi million moja ya vocha alafu um block na yeye alafu meseji ya mwisho mwambie sipendagi ujinga Mimi.
 
Back
Top Bottom