Senseii
Member
- Jun 20, 2014
- 6
- 1
Nimejaribu kujaza detail zang kwenye form ya paypal lakn sijafanikiwa kufungua akaunti, vitu vinavyo vinanifelisha ni
Address line1..
Adress line 2...
Postal code... Afu pia kuna sehem wanataka nijaze City... Na Region... Hapo ndo nachoka kabisa
Wenye akaunti za paypal naomba masaada wenu,
Nisaidieni wakuu.
Address line1..
Adress line 2...
Postal code... Afu pia kuna sehem wanataka nijaze City... Na Region... Hapo ndo nachoka kabisa
Wenye akaunti za paypal naomba masaada wenu,
Nisaidieni wakuu.