Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 237
Kwa maoni ya wengi hapa nchini pikipiki aina ya SANLG inaonekana ndo pikipiki inayoweza kuhimili mazingira ya Kitz. Sasa kama kawaida ya Mchina huwa anatengeneza ORIGINAL na FEKI; nitatambuaje SANLG original na feki? Wenye utaalamu tafadhali naombeni mmwage hapa utaalam wenu. Ahsante!