Jinsi Ya Kuinstall "Expired Certificate" application in Symbian Phone Very easy :)

Mfupa

Member
Nov 11, 2011
37
3
Ukiwa unaweka software Yako kwenye Simu alafu inakuambia "expired certificate"
nenda kwenye "date settings" kwenye simu yako then Badilisha mwaka mmoja kurudi nyuma kama ni 2012 jaribu 2011 then Install app if You still get same message badili tena Kurudi nyuma Lazima Ikubali.

I have been Struggling in such a Problem and Found it So fun trick and works Perfect!

Dont Forget to Like this Post :)
 
Sidhani kama software zote maana mie nimejaribu kurudi kwa njia hata unafika mwaka unaambiwa tarehe si sahihi badili tarehe
 
Ikiandika No certificate then You have to sign Your Software Using Symbian Signer APP kuna Post ilishatumwa humu JF kuhusu Signing Certificates on App
 
Nimeandika kwa Symbian Pekee sina Uhakika na Java Give Urself a try

Simu yangu ni symbian, nyingine zinagoma kabisa. Nimejaribu kuinstall signed hello0X2 imekataa nimejaribu niliyoisign wenyewd pia imekataa. Napata message access not granted. Nifanyeje?
 
Ikiandika No certificate then You have to sign Your Software Using Symbian Signer APP kuna Post ilishatumwa humu JF kuhusu Signing Certificates on App

braza nisaidie link ya hiyo thread
au nielekeze namna ya kusignin cert'
 
Back
Top Bottom