mayayasilas
Member
- Jan 27, 2013
- 43
- 5
Wanajamii mimi ni mpya kabisa katika mambo ya computer ila najua kama nikielekezwa, maana baadhi ving najua ila ufundi ndo sijui...Kwanza kuna mtu alini insatolia windows 7 sasa jana usk nikawa nina uodate baadh ya updates ktk laptop yangu..nikapitiwa usingz na ikawa imehibernet...Leo kuamka kuwasha nakutana na kitu kinasema "this copy.of windows is not genuine" na sijui hata nianzie wapi kusolve hili tatizo...msaada wenu jaman wahitajika..