Jinsi ya kuinstall window

Jul 14, 2018
36
7
Jaman msaada hivi naweza kuinstall window kwenye computer kwa kutumia simu yaani simu iwekama vile flash kwa kuconnect na USB au mna nisaidiaje kwasababu huku nilipo ni kijiji hatar na wameniambia eti kuistall window ni elfu 50 wakat najua me ni elfu kumi hadi 20 ila kibaya zaidi sina hiyoo hela na hata CD sina cjui mnanisaidia je kwa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa simu haiwezekani mkuu maana usb lazima iwe formated into NTFS file system mkuu ndiyo itaweza kuwa bootable. ukimaliza installation usisahau ku update na drivers mkuu
 
Unaweza install bila external storage yoyote, hakikisha una bando ya kutosha,
*Download image file ya OS unayohitaji from trusted site,
*Tengeneza empty partition kwenye drive yako alaf
*Unzip na hifadhi hiyo image file kwenye hiyo empty partition
*Install bootloader ,
*Activate hiyo partition

Alafu anza installation
Boot from --->new created partition

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman msaada hivi naweza kuinstall window kwenye computer kwa kutumia simu yaani simu iwekama vile flash kwa kuconnect na USB au mna nisaidiaje kwasababu huku nilipo ni kijiji hatar na wameniambia eti kuistall window ni elfu 50 wakat najua me ni elfu kumi hadi 20 ila kibaya zaidi sina hiyoo hela na hata CD sina cjui mnanisaidia je kwa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta mwana JF mwenye huruma aliyekaribu na wewe atakusaidia tu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom