Sweetbeth Lazaro
Member
- Oct 14, 2015
- 87
- 18
Habarini ndug zangu nnatumia tecno c7 nataka kuiroot ivo naomba kwa yeyote anaefaham hii process anielekeze
Kuroot ni kama kukeketaMkuu naomba pia unipe faida na hasara za Ku root sim
Hivo tu bas..?!!Kuroot ni kama kukeketa
Over
Faida ya kuroot Simu unaitoa kifungoni kwanza .Mkuu naomba pia unipe faida na hasara za Ku root sim
udukuzi wa application na kuziondolea licence sasa utakuwa umefika .
Kutumia simu yako kwa kuweka madiko diko matamu haswa mpk miandiko za samsung .
kuiwezesha simu iwe na uwezo wa kutunza moto ila mpk upate application inaitwa l_battery .
Wala PC haihitajiki ndugu yangu nimeroot simu nyingi c5 c8 bila PC.Iyo Mpaka pc mzee kama uko dsm nichek nikusaidie ela ya bando tu utatoa
Kma umeweza toa somo mimi nitakupa 10kWala PC haihitajiki ndugu yangu nimeroot simu nyingi c5 c8 bila PC.
Somo naweza kutoa vzr bila shidaKma umeweza toa somo mimi nitakupa 10k
Karibu
subiri kidogo ndugu yangu tuanze kaziKaribu
Hyasubiri kidogo ndugu yangu tuanze kazi
Tuanze sasa .
mpk hapo ndugu yangu umemaliza haya turudi kwenye swala muhimu KUROOT SIMU YETU ILI UFANIKIWE BILA PC UFANYEJE ? BINAFSI NAKWAMBIA HUWEZI ROOT SIMU INAYOANZIA NA VERSION 6.0 BILA PC HAPO NDUGU MPK PC ILA ZINAZOSHUKA MPK CHINI TWANGA BILA PC MZIGO UNAKAA VEMA ASEE ..Faida zake .Sorry, nielewesheni zaidi faida na hasara za kuroot cm
Nimemaliza kazi yangu nduguKaribu
mrejesho wa hela jmn nikupm nipate ridhiki yangu , au wapi hujaelewa ?