Pole sana; fanya yafuatayo:
1.Ukishakuwa kwenye website yoyote nenda kwe tools bar (juu)
2. click tools then itakuja diologue, chagua internet options (iko chini kabisa mwa hiyo dialogue)
ukishaclick internet options itakuja dilogue nyingine, chagua general option;
then weka tick kwanye kabox kalikoandikwa 'delete browsing history on exit,
Then click kwenye delete (history yote itafutwa)
Mwisho click kwenye apply ili hiyo iwe parmanent setting, then ok.
(applicable kama unatumia internet explorer)
Kama unatumia firefox; fuata same procedure
Ukishamaliza step 1, then step 2 chagua options
kwenye option dialogue click privacy
Then utaona mahali pameandikwa firefox will........ chagua never remember history.
Chini yake pameandikwa you may want to clear recent history; then utachagua time range: last hour, last two hours, last four hours, today au everything. Yaani hapo unachagua history ya lini ifutwe kwa wakati huo.
All the best