Jinsi ya kufunga cooker switch | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kufunga cooker switch

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tizo1, Jul 8, 2012.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Msaada jamani.cooker switch inafungwa vipi?je connection kati ya cooker switch na jiko inakuwaje?je ukitumia 6mm itafaa?msaada tafadhari...
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Hiyo nyumba ni yako au umepanga? Most likely ni quarters za shirika!
  Usifanye mchezo na umeme kaka, hasa kama hauufahamu vizuri. TAFUTA CERTIFIED FUNDI akufanyie kazi, hata kama unaiona ndogo kiasi gani!
   
 3. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamani naombeni darasa na sio mengineyo!
   
Loading...