Jinsi ya kufua pazia la baba

Nimegundua tunawadekeza sana hawa wanaume wetu. Ndio maana nyumba nyingi sana zinakosa mwelekeo mama akiondoka.
 

Wee jamaa ni comedian ? Yaani umenitoa machozi kwa kucheka na post zako! nimecheka mnoooo ! JF is never boring ! nimetoa stress zangu zote
 
Yaani watu wengine sijui mkoje!
Ina maana we na umri wote huwezi kujifuria chupi mpaka afue mwanamke! Na je, kama unakubaliana na haki sawa, je, wewe unafanyaga hivo za mkeo? Kama jibu ni hapana basi huna ndoa wewe una ndoano. Mi napita zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…