Jinsi ya kuformat computer yenye window xp. Hakuna haja ya kumpelekea fundi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kuformat computer yenye window xp. Hakuna haja ya kumpelekea fundi jamani

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by jozzb, Oct 13, 2011.

 1. j

  jozzb Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  [​IMG]
  KUFORMAT COMPUTER KUNAFANYIKA PALE AMBAPO COMPUTER YAKO INAKUWA IMEZINGUA (IME CORRUPT).


  NINI MAANA YA KUFORMAT COMPUTER?

  NI KITENDO CHA KUFUTA KILA KITU TOKA KWENYE HARD DISC YA COMPUTER YAKO.HII INATEGEMEA PIA KAMA COMPUTER YAKO INA PARTITION (Mf.A,B,C) HIZI NDO TUNAZIITA PARTITION.KAMA COMPUTER YAKO INA PARTITION,BASI UTAAMUA MWENYEWE,NI PARTITION GANI YA HARD DISC UNATAKA KUIPIGA CHINI NA KUIWEKA UPYA!

  ANGALIZO:

  >>KABLA YA KUFORMAT HARD DISC YA COMPUTER YAKO,HAKIKISHA KUWA UMEFANYA "BACK UP" YA VITU VYAKO VYOTE,VINGINEVYO UTAPOTEZA VITU VYAKO VYOTE.LOL!! UTALIA AISEE.

  >>KWA MTU MAKINI,"BACK UP" INASHAURIWA KUFANYWA KILA BAADA YA WIKI 2 MPAKA 3.HII NI KWA SABABU HUWEZIJUA NINI KITATOKEA KWENYE COMPUTER YAKO

  MAADA YA LEO ITAELEZEA JINSI YA KUFORMAT COMPUTER YENYE WINDOW XP

  **********

  ***

  HATUA ZA KUFUATA:


  1.Weka CD ya window kwenye computer yako halafu izime computer yako
  2.Hatua inayofuata ni kuiwasha computer yako.Inabidi uwe makini sana,kabla haijawaka,bomyeza F12.Maana ya kubonyeza F12 ni kuilazimisha computer yako ISITISHE MAMBO MENGINE YOTE,NA BADALA YAKE,ISHUGHULIKE NA CD PEKE YAKE!!! ( Its a process of booting from the CD).Baada ya hapo window setup itaanza na itakuwa katika rangi ya blue

  JAMANI HATA HILI MNATAKA MPAKA FUNDI AJE??????? HAIWEZEKANI

  HUU NI MWENDELEZO WA HATUA SABA ZA MSINGI.:
  UNGANA NA HUYU JAMAA ALIYEJITOLEA KUELEKEZA KWA LUGHA YA NYUBANI.

  <<BOFYA HAPA>>


   
 2. T

  Think Tank JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 234
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu hongera kwa shule yako!Hivi na window Vista hatua ni hizohizo?Au ukitaka kutoa Window Vista ili uweke Window XP unafanyaje?
   
 3. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hii kila mtu anaijua
   
 4. aye

  aye JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  hapo una format au una repair mkuu
   
 5. j

  jozzb Member

  #5
  Oct 14, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ntakuji muda si mrefi mkuu
   
 6. j

  jozzb Member

  #6
  Oct 14, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  hapo ni kwa ajili ya kuformat kaka!
   
 7. Mchelle

  Mchelle Member

  #7
  Oct 14, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  umeenda sawa, sasa endelea tunakufuatilia kwa karibu zaidi
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,339
  Trophy Points: 280
  Senkyu vele machi
   
 9. s

  superx64 Member

  #9
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninashukuru kwa kutufungua macho,hata hivyo nina swali linanisumbua siku zote kwa naomba hebu toa maelezo namna ya kufanya back-up ya vitu vilivyo kwenye hard drive tafadhali.Ahsante
   
 10. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ya hata mimi inanisumbua namna ya kufanya back up.
   
 11. T

  Think Tank JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 234
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Bado nasubilia jibu!
   
 12. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 639
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  nice topic..big up man
   
 13. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Thank you for posting.
   
Loading...