Jamani Nina huawei 530 nataka niifanyie majaribio ya kuweka custom rom vipi wataalamu nitapata wapi hizo rom
Kuna custom recovery ya cwm nimeitest iko poa sijui kama ya trwp ipo, sijaona custom roms so far ila unaweza tengeneza yako kutoka official rom
unakwama wapi? hizo ndio simplified kaka nimejaribu kuzielezea kwa wepesi inavyowezekana, kama unakwama mahali niambie nikusaidie
yeah, ila uweke stock rom
InauzwajeNina box ya ufsx +hwk yake ila kebo hazijatimia walinikwapulia ila zipo nyingi tu dar zinuzwa tano elfu tu naiuza ni original.
simu yangu samsung galaxy note3 inaniandikia invald imei
Nicheki whatspp volcano umepata ndugu.0754 604567Mimi mwenyewe nataka Box la volcano au GPG kama vp nipeni bei make nshahangaika zaid ya maelezo!
Nicheki volcano umepata na vitu vyake vyote 0754604567Mimi mwenyewe nataka Box la volcano au GPG kama vp nipeni bei make nshahangaika zaid ya maelezo!