yeah, ila uweke stock rom
Mtaalam C 6 nina Nokia E 71 i, original nayo imezidiwa nikiiwasha screen inawaka kama hazard na program inajifungua zenyewe, hii simu bado naipenda, utanisaidiaje maana mi si mjuzi saana ya hayo mambo, kama vipi niwekee mawasiliano yako nikutafute kama uko hapa dar, tafadhali
mkuu mie niko mwanza. na sio mtaalamu wa mambo ya simu. ila uwa ninapopata tatizo uwa nakomaa nalo mpaka nipate suluhisho. na nikipata uwa napenda kushea na wenzangu.
maswala ya simu za nokia chief-mkwawa ndio nyumbani kwake. mie mnazi wa android mkuu
ni vigumu kupata custom rom kwa simu hizi za kichina labda kama unaweza kucustomize mwenyewe
make sure driver za simu zimekuwa installed kwanza
taja na simu aina gani maana mtk 6572 ni chip, simu clone zote zenye chip hii basi zinaandikwa mtk6572 ila utakuta zipo s4, s3 na zingine
DUU KWELI JF NI KISIMA CHA AJABU,,NAMI NA SWALI. UNAWEZA JIFUNZA KWA MUDA GANI UKAJUA,(ukaanza kufanya kazi za wa2) 2 software na hardware ipi dili