Jinsi ya kufika Jangwani Sea Breeze

Jinsi ya kufika Jangwani Sea Breeze

bestest

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
67
Reaction score
8
kila siku natamani kwenda hii sehemu naiaikia saana, mwisho wa mwezi huu Mshahara ukitoka nataka nizame huko, naomba mwenye kujua napanda gari za wapi nashuka wapi, jinsi ya kufika naomba kujuzwa. I submit
 
Panda gari za Tegeta shuka Africana then unachukua bajaji kwa 2000
 
ukiwqa huna hela ya bahaji ukishashuka AFRICANA waweza chukua pikipiki ni 1000 au baiskeli 500 utapelekwa mpaka getin
 
Back
Top Bottom