Jinsi ya kuficha picha kweny gallery Kuna mtu anapenda Sana simu yangu kufunua funua

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Wakuu msaada wa fasta nawezaje kuficha picha za kweny gallery Kuna mtu anapenda Sana simu yangu.. Tueshimiane bwana.. Alaah
 
Kama unatumia tecno haina haja ya application just unaingia kwenye setting unafanya mavitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…