Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 126
- 186
Habari mjasiriamali,
Nimepata casesara 3 watu wanalipia applications zao Brela halafu wakirudi kwenye system inaonekana application haijalipiwa.
Leo nimekuandalia njia nne za kufanya malipo Brela kwa usahihi
1. Lipia kwa simu
Mtandao wowote unaotumia chagua malipo ya serikali na uingize control number ambayo huwekwa juu ya invoice unayopewa na Brela
Unaona jina linakuja Brela na kiasi unatakiwa kulipa.
2. Lipa kupitia Bank
Hapa unatakiwa kua makini,
Hautakiwi kutuma/ku deposit hela kwenye akaunti ya Brela Moja Moja, unatakiwa ufanye malipo kwa kuweka control number.
Uki deposit/kutuma Brela hawatajua ni hela ya nani so pesayako itapotea na application yako haitakua submitted.
3. Lipia kwa wakala
Mpe wakala control number akusaidie kufanya malipo.
4. Mpe mwanasheria wako akufanyie malipo.
I hope this helps,
Hey naitwa luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe Kusajili Kampuni na biashara zao.
Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni au jina la biashara unaweza kunitumia ujumbe Whatsapp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite lawyer.