Mwenye uwezo wa kuchakachua dstv. Naanza kufilisika.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kweli watanzania kiboko..wizi ni kosa,,lakini bado wanafundishana tena waziwazi,,kuwa muangalifu nitakukamata na kukufunga endelea na mchezo wako
Kweli watanzania kiboko..wizi ni kosa,,lakini bado wanafundishana tena waziwazi,,kuwa muangalifu nitakukamata na kukufunga endelea na mchezo wako
mkuu, kauze hiyo blackberry ukalipie.Mwenye uwezo wa kuchakachua dstv. Naanza kufilisika. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kweli bro, kuna dogo alinifungia hayo tangu mwaka jana nacheki soka Dstv free. ni full kujiachia.Sitaki pm ya mtu yeyote . Kuchakachua dstv inatakiwa uwe na kifaa kinaitwa dongle pamoja na risiva .na dish mbili za ku band. Vifaa hivi vinapatika kwa wajanja tu .kule znz na uku bara pia vipo .hukifanikiwa kupata hivi dstv full kujiachia chanel zote buree kama yakwako vile
kweli bro, kuna dogo alinifungia hayo tangu mwaka jana nacheki soka Dstv free. ni full kujiachia.