Jinsi ya kufanya magumashi DSTV

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,435
4,148
Mwenye uwezo wa kuchakachua dstv. Naanza kufilisika.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama yupo aniPM nahitaji supersport 3 na 7 TU, hata elf kumi kwa mwez ntakua namlipa
 
sio rahisi kupata kwa elfu kumi kwa mwezi zipo nyingi tu wacha niingie chimbo ntarudi na solution ya hii!!
 
Ukitowa maujanja wanafunga tumewashitukia wengi wanajifanya wahitaji kumbe mavaku wa dstv

Kabumbu imeanza acheni tusogeze siku
 
Sitaki pm ya mtu yeyote . Kuchakachua dstv inatakiwa uwe na kifaa kinaitwa dongle pamoja na risiva .na dish mbili za ku band. Vifaa hivi vinapatika kwa wajanja tu .kule znz na uku bara pia vipo .hukifanikiwa kupata hivi dstv full kujiachia chanel zote buree kama yakwako vile
 
acha ujinga,,unakuwa kama mtoto wa kike>?ambae anatembea mume wa shogake?
 
Kweli watanzania kiboko..wizi ni kosa,,lakini bado wanafundishana tena waziwazi,,kuwa muangalifu nitakukamata na kukufunga endelea na mchezo wako
 
Ninauezo wa kukupa abidhabi utaona ligi yote ila lugha ni kiarabu,,,nipm
 
Kweli watanzania kiboko..wizi ni kosa,,lakini bado wanafundishana tena waziwazi,,kuwa muangalifu nitakukamata na kukufunga endelea na mchezo wako

Ukiwakuta jukwaa la siasa utawaona wakali kweli, kumbe wote wezi tu.
Hapa wanahatarisha ajira za watu na mapato ya kodi, in he end wanawaongezea gharama genuine customers!!!
 
Nikikufundisha ntakuwa natengeneza kafisadi taratibu. Achana na mambo hayo. Badala ya kupambana kuiba ili maisha yawe safi , pambana kufanya kazi halali kwa bidii zaidi ili kuongeza kipato itakusaidia
 
Sitaki pm ya mtu yeyote . Kuchakachua dstv inatakiwa uwe na kifaa kinaitwa dongle pamoja na risiva .na dish mbili za ku band. Vifaa hivi vinapatika kwa wajanja tu .kule znz na uku bara pia vipo .hukifanikiwa kupata hivi dstv full kujiachia chanel zote buree kama yakwako vile
kweli bro, kuna dogo alinifungia hayo tangu mwaka jana nacheki soka Dstv free. ni full kujiachia.
 
mimi wamenitumia kimail chao leo...eti niarrange payments... Nshaongea na mshikaji fulan kenya/nairobi ananiletea ijumaa decoda kwa box nne tu fully kujiachia...jamaa yangu alifunga mwezi wa tano sasa haijazingua wala nini..bye bye dstv mlizokula zimetosha...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom