Jinsi ya kuepuka mizinga ya wadada

Haaaaaaa jamani ahsante ila mme yupo....ulikuwa wapi ungekuwa unaenda dinner saa hizi.haaaaa
Daaaah heshima kwake mumeo kabahatika kupata mke anaye jielewa.tatizo na sisi tukipendwa hatujielewi mpaka tukishawapoteza ndio akili hungufuka na kuwa to late....heko kwako mdada
 
hivi ni kweli wanawake wanaomba hela kiasi hiki? maana itz too much wanavyotangazwa& ina maana wao hawatafuti hela zao forsa ziko nyingi hadi wawe ombaomba alowafukuza Makonda ni aibu hizi!
Wenzio washazoe kuteleza kwenye mteremkoo kupanda mlima hawawezi
 

word
 
Wenzio washazoe kuteleza kwenye mteremkoo kupanda mlima hawawezi


imezidi aisee mpenzi unatakiwa uwe naye for leisure na sio economy!. eeehh hayo maisha ni magumu sana kazi zakujipatia rizki ni nyingi mno kuliko kukaa kusononeka mzinga haujakubali nikujitesa tu kwakweli kwanza kujitegemea kuna raha yake akijisikia akupe poa asipokupa maisha poa.

huo utumwa wakujiuza wataacha lini?? maana bila vizinga huishi ni laxima uwe na buzi ati foolish.
 
hapo chacha, wao wenyewe wajiweka matawi wa juu, anataka kujionyesha anazo kwa msichana
Na hilo neno pia mwanaume mwingine ana hakikisha anafunguwa na wallet imejaa noti huku akijionyesha muache kuwatamanisha na wenzenu kwa makusudi.au ataanza historia yake nna nyumba mbili gari 4 naendesha hiki.mara nikupe nini sasa nao wadada wanafikiri eee kumbe mwanaume ndo anatakiwa kufanya hivyi.na dunia ya sasa kila mtu anasema hamnamapenzi ya kweli kwahiyo kila mmoja anataka kumtumia mwenzie.tungekuwa na mapenzi ya kweli haya yote yasingetokea
 
Ndoa nyingi zimeingia kwenye migogoro na baadhi zimevunjika kwa upuuzi wa namna hii. Kuna umuhimu wa wanawake ku revisit mtazamo huu
 
mkuu jiwe la gizani humpata yeyote! ukisikia uwiiiiiii! uwiiiiiiiii! ujue sindano imepenya na dawa imo kwente mishipa tayari
 
Kweli wewe chizi freshi. Utegemezi huo haukuundwa na binadamu. Ni wa asili. Huwezi kuikwepa asili.
Utegemezi umelelewa kiasi cha kuvuka mipaka. Kuna changamoto zake najua na nadhani ndiyo maana waarabu wameamua mwanamke awe ni chombo cha starehe tu. "Sorry kwa hili lakini"
 
Utegemezi umelelewa kiasi cha kuvuka mipaka. Kuna changamoto zake najua na nadhani ndiyo maana waarabu wameamua mwanamke awe ni chombo cha starehe tu. "Sorry kwa hili lakini"
Sasa tumeenda sawa. Asante
 
Mzinga hutaki kuchat unataka, wakati hata hizo sms mnazochat zimetolewa hela mkafie mbali huko mfyuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…