Jinsi ya kuepuka mizinga ya wadada

Wanawake wengi wamewapoteza wanaume wengi ambao huenda walikuwa wakiwapenda kwa dhati na pia wakiwa na malengo makubwa juu yao kutokana na wanawake hao kutokuwa na subira.

Hata kama we mwanamke una shida kiasi gani, kwa kweli ni jambo la aibu kwa mara ya kwanza kufahamiana na mwanaume fulani mara moja ukaanza kumweleza shida zako. Hata kama mwanaume alikupenda kiasi gani, tendo hilo peke yake linaweza kumvunja moyo wa kuendeleza ukaribu na wewe.
 

Exactly mkuu.
U just spoke my mind off.
 
Tatty umenigusa dear yani mimi nipo exactly ulivyosema wewe kwanza mimi nina pride balaa kumuomba mwanaume tena nimeona tabu mno! Ila nikiwa kwenye mahusiano tena ya muda mwanaume ameisha kuwa rafiki pia kwangu na ni mpz ndo naweza mwambia tena hapo nimekopa.miaka mingi ya zamani nikapata kiburi tena si kwa ubaya maana wengine wanaweza wasielewe..ilikuwa nikipata pesa yangu ntajionyesha kabisa nnayo na sikutegemei wewe mwanamme.maana kama wao wanavyotufikiria sisi wanawake wote waombaji na mimi nikawa nafikiria wao wote wanafiki kila mwanamke mwombaji wakati siyo.ila nimejuwa hiki kwamba mwanamme kazi yake ni kumuangalia mwanammke wake.ila na sisi siyo tu pia tukae mpz wako mpeleke hata dinner ..kazawadi naye apate.hakuna asiyetaka kuonyeshewa mapenzi now and then.ila hao wanawake ombaomba wengine wamezidi mpk aibu
 
Jamaniiii..... dah!!!
 
Just imagine juzi ukaombwa kiasi kwa ajili ya matumizi, jana eti ameona mkoba mzuri kaupenda anaomba nimnunulie, unampatia mkoba analia shiida eti mafuta ya kupaka yameisha na jioni anasema anahisi atapata perior soon but kachanganyikiwa hana pesa ya pedi……khaaaa tupa kule!
 
Mkuu biashara ya kulipia kungonoka imekatazwa!
 
Dah nimekutana siku ya kwanza tukabadiliahana contact siku ya pili sms shangazi anaumwa sina nauli...nikaona poa nikamtumia buku 10... siku ya tatu kuna wasanii wamekuja naomba nauli ya kwenda kuwaona sasa hapo hata hajai jina langu na ni binti mkubwa. ...kilichofuatia niliamua kumpotezea tu wakati nilikuwa na malengo nae
 
Ingekuwa mimi nisingempa anaomba kwenda kuona wasanii kwanini basi asingesema mpz twende wote..huyo mtumiaji wanaume
 
Nakubaliana kabisa wakina dada kwanza cha kwanza wao wanapenda kupendeza huyu ana hiki na mimi nataka utakuta hana hata shilingi ila anaomba vikubwa.mi mwanamke ila wanawake wenzangu wa kuomba omba its time to go back to work na tujishughulishe tuna mikono na miguu mpz wako muombe akusaidie kama una shida kama starehe fanya naye siyo unaomba pesa uende mziki na unaye muomba unamuacha home lol
 
Nipo single naomba nikuoeee ww ni type yangu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji72] [emoji72] [emoji72] [emoji72]
 
hivi ni kweli wanawake wanaomba hela kiasi hiki? maana itz too much wanavyotangazwa& ina maana wao hawatafuti hela zao forsa ziko nyingi hadi wawe ombaomba alowafukuza Makonda ni aibu hizi!
 
Na watu wameshazoea na imekua kawaida utafikiri ni halali kumhudumia mke wa baadae wa mwenzako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…