Jinsi ya kuendelea kuwa masikini

Abdul mrope

Member
Jul 6, 2017
37
79
*JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI*

1.Usiamke mapema.

2. Usipange matumizi ya Pesa zako.

3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.

4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.

5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka kutoka mbinguni na kukukabidhi mtaji.

6. Endelea kuilahumu serikali na wazazi ambao hawakukupa Elimu.

7. Tumia Pesa nyingi kuliko kipato chako.

8. Hakikisha unaenda na fashion. Kila toleo jipya la nguo, viatu, simu lazima na wewe ununue.

9. Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba.

10. Endelea kutumia muda mwingi zaidi kwenye social networks. Kama Whatsapp, Facebook na Instagram negatively
 
utatumiaje pesa nyingi kuliko kipato chako? hizi pesa nyingi umezipata wapi?

"Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba" kama una wanunulia watoto wako chochote wanachokiomba maana yake wewe si masikini,ungekuwa ni masikini usingekuwa na hata hiyo hela yakuwanunulia chochote

usiamke mapema,,kuna watu wanaamka saa 11 alfajiri kuwahi usafiri kwenda kazini lakini ni masikini,,watu wa dar wasione hii
 
Daaa
 
Hii inawahusu wafanya biashara na waliojiajiri, lakini nyie mlioajiriwa haiwahusu kabisa na hamuwezi kuelewa
 
C kwel
 
Ahsante kwa ushauri tunautendea kazi

Umaskini ni relative term
Umaskini ni namna unavyoyaona na kutafisri mambo
Utaua na kulizika ni jambo jema sana
Asante
 
*JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI*

1.Usiamke mapema.

2. Usipange matumizi ya Pesa zako.

3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.

4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.

5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka kutoka mbinguni na kukukabidhi mtaji.

6. Endelea kuilahumu serikali na wazazi ambao hawakukupa Elimu.

7. Tumia Pesa nyingi kuliko kipato chako.

8. Hakikisha unaenda na fashion. Kila toleo jipya la nguo, viatu, simu lazima na wewe ununue.

9. Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba.

10. Endelea kutumia muda mwingi zaidi kwenye social networks. Kama Whatsapp, Facebook na Instagram negatively
Nice one
 
utatumiaje pesa nyingi kuliko kipato chako? hizi pesa nyingi umezipata wapi?

"Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba" kama una wanunulia watoto wako chochote wanachokiomba maana yake wewe si masikini,ungekuwa ni masikini usingekuwa na hata hiyo hela yakuwanunulia chochote

usiamke mapema,,kuna watu wanaamka saa 11 alfajiri kuwahi usafiri kwenda kazini lakini ni masikini,,watu wa dar wasione hii
Kuna logic zingine zinachekesha sana aisee.
Ila umejitahidi sana kuonyesha U genius wako kumzidi mtoa mada.
 
Hii inawahusu wafanya biashara na waliojiajiri, lakini nyie mlioajiriwa haiwahusu kabisa na hamuwezi kuelewa
Na Kama wewe ni mfanyabiashara huna sababu ya kuamka alfajiri sana kwa sababu wafanyakazi wako watakuuzia biashara yako.
Wewe ukienda ni kwa ajili ya kufanya mahesabu tu.
 
*JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI*

1.Usiamke mapema.

2. Usipange matumizi ya Pesa zako.

3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.

4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.

5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka kutoka mbinguni na kukukabidhi mtaji.

6. Endelea kuilahumu serikali na wazazi ambao hawakukupa Elimu.

7. Tumia Pesa nyingi kuliko kipato chako.

8. Hakikisha unaenda na fashion. Kila toleo jipya la nguo, viatu, simu lazima na wewe ununue.

9. Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba.

10. Endelea kutumia muda mwingi zaidi kwenye social networks. Kama Whatsapp, Facebook na Instagram negatively
wewe una utajiri gani?
 
Back
Top Bottom