Jinsi ya kudownload satelite map kwenye cm

St evance

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
83
Reaction score
11
Wadau mimi nina nokia n73 nahitaji ushauri wa jinsi yakudownload satelite maps na kuzi_instal kwenye cm
Naomba msinishambulie coz kuuliza sio ujinga.
 
Fafanua kidogo pls.

ni kwamba hii satelite map sio tu inakusaidia kujua mahali ulipo eg msamvu bali pia inakuonyesha pia sehem mbalimbali za hiko kieneo niliiona kwa rafiki yangu akaniambia niende kwenye google maps nikaenda lakini sikuiona sasa sijui mimi ndio sikuserch vizuri au ni mitambo ilizingua so if you have any idea help plz.
 
Google Map au Google earth, tofauti yake Google map ni web based hiyo huhitaji kudownload, nenda www.maps.Google.com Ingiza jina la sehemu itakuonyesha kila kitu. Na Google earth yenyewe unatakiwa kudownload.
 
map zinauzwa si free... hata ukinunua gps devices za gari inabidi pia ukanunue map na kwa taarifa yako map ni ghali nililinunua gps ya gari hata mliman city zinauzwa laki 5 ila map hata pale mliman city walikua wanauza laki 6 ya east africa!
 
nimefanyia small investigation jaribu kudownload be on road kama una android ila kwa urahisi unatakiwa uwe na coordinate ya unapoenda ndio inakua rahisi uzuri wake ni kwamba kila unapoedna unaweka coordinates with time inakua poa
 
kaka tumia ramani za nokia ndio best kwenye simu yako unachotakiwa ni kuzidownload nafkiri tanzania ni around mb 8. tumia nokia pc suite kuzidownload utapata ramani full offline hutatumia internet ni wewe na gps yako.

kama unataka utumie kama google map n73 inakuja pre installed na ramani za nokia (za zamani) zitafute humo humo kwenye simu au kazicheki ovi store kama huzion kwenye simu
 
map zinauzwa si free... hata ukinunua gps devices za gari inabidi pia ukanunue map na kwa taarifa yako map ni ghali nililinunua gps ya gari hata mliman city zinauzwa laki 5 ila map hata pale mliman city walikua wanauza laki 6 ya east africa!

ramani za nokia za magari ni bure unatumia gari aina gan?
 
map zinauzwa si free... hata ukinunua gps devices za gari inabidi pia ukanunue map na kwa taarifa yako map ni ghali nililinunua gps ya gari hata mliman city zinauzwa laki 5 ila map hata pale mliman city walikua wanauza laki 6 ya east africa!

Ila uliliwa mkuu, maps nenda pale Germin maeneo ya mbuyni kama unaenda posta, gharama ni more cheaper than. Wat u paid for!
 

Iyo n73 sio Android uwezi pata kwenye google
Na cjui humo kwenye cm yako kama itakubali ingia nokia store ya N73 utaipata
 
Cm yako kama ina location unaweza kuipata kupitia ovi store.mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…