Jinsi ya kudownload online Tv shows

Executor

JF-Expert Member
Sep 29, 2014
871
996
habari wana Jamii forum....
hapa nafikiri ni sehemu husika na naweza kupata japo mwanga,inshu yangu ni kwamba nitawezaje kudownload video ambayo naiwatch online yaani haina option ya kudownload lakini mimi nahitaji kuigrab niwe nayo katiaka pc....???
Ahsanteni.
 
Kama ipo kwenye YOUTUBE fanya yafuatayo. kama ni www.youtube.com/hhgffdtsfsfssshshshhaghafaf ..... hapo futa www. kisha weka ss na itasomeka ssyoutube.com/hhgffdtsfsfssshshshhaghafaf..... kisha click enter itakupeleka sehemu ya kudownload.
 
Jaribu kutumia torrents utazipata vizuri bila shida kabisa Mjukuu wangu

www.kat.ph
Andika jina la TV show unayoitaka zitakuja pale tumia u torrent au bit torrent au software nyingine yoyote utakayoona inakufaa download ufurahie TV shows zako Pendwa

Asante
Babu Kifimbo Cheza
Hizi Korean drama ni naidra sana kuzipata kwenye torrent na hata ukizikuta huwa hazinaga seeders wakutosha.
 
Back
Top Bottom