Jinsi ya kuchepuka bila kukamatwa!

Jinsi ya kuchepuka bila kukamatwa!

Usaliti haufichiki c ktk mapenzi sehem yoyote, ukianza tuu kuwa mshenzi shenzi kama huyo mtu unayemzunguka anakufaham vizur mi nakwambia hata wiki humalizi unatiliwa shaka na kuanza kufatiliwa kimya kimya...wanawake, hawa jamaa ni wadadis sana unaweza muona kakaa kama mjinga flani hivi ila hawa watu ni shida hasa umkute yule mwenye asili ya kujua viushenzi vyako alaf anakaa kimya tu
 
Back
Top Bottom